HusnaThebosslady live on muosha rungu TV show!

Status
Not open for further replies.
Unamshauri nn kijana mwenye laki moja asiye Na ajira

DJ sepetu
 
Usingezaliwa Tanzania ungechagua kuwa RAIA Wa nchi gani
Why

DJ sepetu
 
Mumeo akikusaliti kwa mdogo wako utachukua uamuzi UPI!

DJ sepetu
 
Unafanya nn kuunganisha teamwork kazin kwako ukiwa kiongoz Wa juu

DJ sepetu
 
Elimu yako uliyoipata nje imekuletea changamoto ipi hapa nyumbani!?
Unadhani imekufanya bora kuliko ungesoma hapa

DJ sepetu
 
Baba Na mama yako yupi ni mfano bora kwako
Kwann

DJ sepetu
 
Serikali ya magufuli inawatendea haki watanzania!?
Unafikiri nn kifanyike zaidi


DJ sepetu
 
Ikiwa utachaguliwa kuwa rais ni jambo lipi utawafanyia watanzania

DJ sepetu
 
Faida Na hasara za kukulia maisha ya juu ni zipi

DJ sepetu
 
Mungu akikujalia unapenda kuzaa watoto wangapi
Kwanii

DJ sepetu
 
Tabia IPI huwezi ivumilia kwa mpenzi wako

DJ sepetu
 
Nn kinakutofautisha Na wanawake wengi Wa rika lako

DJ sepetu
 
Ktk biashara vitu vitano vya kuzingatia ni nn

DJ sepetu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…