Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,135
- 48,827
Sipati picha
Mara nyingine uko[emoji106]najishusha...i play like im one of them, yaan wanione wa kawaida, na ninawachangamkia as if i personally know them
Fake then anakuwa role model wako?napenda maigizo yake, demu fake sana yule
Hata shule yaweza kuwa na mfumo wa kampuni, kuna mameneja, ma md nkKwenye huu uzi kasema ni kiongozi wa kampuni ya mzee wake, kwenye uzi wa utambulisho kasema yeye ni head mistress.
Unethical. Kufanya sex na subordinate wskonimeshasex na staff...alikuw ticha sema muongeaji, ndo maana akafaulu kumla mkuu wa shule.
baba na mama yangu ni wazazi na ndio mfano pekee wa kuigwa...unless mume wangu aje kuwa bora zaidi yaoBaba Na mama yako yupi ni mfano bora kwako
Kwann
DJ sepetu
Ahsante mkuu...ni busara tu zmeniongoza nikae kimya mkuu.mtoto wa kiume kutupiana maneno na mtoto wa kike sio poa.
Rais afikirie wafanya kai wa umma hasa walimu na watu wa sekta ya afya, hawa watu wasipuuzwe madai yao.Serikali ya magufuli inawatendea haki watanzania!?
Unafikiri nn kifanyike zaidi
DJ sepetu
sitajenga viwanda, nitatoa fursa wananchi wajenge wanachofikira ni chema kwao kwa wakati huo.Ikiwa utachaguliwa kuwa rais ni jambo lipi utawafanyia watanzania
DJ sepetu
faida ni kwamba hutajua shida n nn, hasara ni kwamba binafsi km mm napata wakati mgumu kujichanganya na waswahili kama nyinyiFaida Na hasara za kukulia maisha ya juu ni zipi
DJ sepetu
3.Mungu akikujalia unapenda kuzaa watoto wangapi
Kwanii
DJ sepetu
miss chagaNi watu gani wanakuboa sana humu jf!?
DJ sepetu
kunichapa nao usiku kucha.Tabia IPI huwezi ivumilia kwa mpenzi wako
DJ sepetu
kujielewa, elimu na vipesa.Nn kinakutofautisha Na wanawake wengi Wa rika lako
DJ sepetu
ya kibingwa...yaani hakuna hakuna kudekeza mtu alooMalezi yepi utawapa wanao
DJ sepetu
Wema sepetu
Drive= motor carJaman anaendesha gari/pikipiki.....[emoji126] [emoji126] [emoji126]
Sent using Jamii Forums mobile app