Mie mzima kabisa muhenga mwenzangu.Asante muhenga mwenzangu, mzima?
AlamsikiMie mzima kabisa muhenga mwenzangu.
Usiku mwema muhenga mwenzangu saa zangu za kulala hizi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Husna jamani yupo swimming
Tumvumilie!
DJ sepetu
Husna nakuja Nina drive kidogo!
DJ sepetu
But l love her swagger!Mkuu, mimi sio wa hivyo, siendeshwi na kichwa kidog a.k.a cha chini.
Au unatishwa na majigambo na picha?
Mimi NINAHESHIMU UTU WA MTU NA ANAYEJIHESHIMU.
Dadangu amejishusha hadhi mwenyewe, laiti angejishusha yaani watu tungemwinua sana. Lkn ame prove kuwa hafai
Kaondoka ndo unamponda [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...wanaume bana!Ndogo hivyo?
Lakini sioni kama anathamani hiyo hata 50,000 sitoi hajatulia na ananyodo.
Ukiwa na mke wa namna hii utaishi kama kisiwa
changamoto pekee ni kukutana na wanaume wapumbavu wengi kwa siku kuliko wanaojielewa....actually mm headmistress, so huwa naogopwa flani hivi amazing
Wewe unapenda umbea[emoji23] [emoji23] [emoji23]But l love her swagger!
DJ sepetu
nikimuangalia machoni kwa dakika 3 na asipepese macho...huyo ndo mume.
Kwambaaaali nimeanza kuiona opportunity....[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Mkuu mbona alivyokuwa live ulikuwa unasifia kila kitu?Mkuu wanaume sio wajinga hata kidogo, tunamchora tu lakini tunaona hana thamani
Haaaa haaaaaa...Hana lolote, analiwa na mfanyakazi mfyuu
Heeee na wewe tena?Wahivi huwa tunawamega kisha tunasepa, alafu wanakuja kutuanzishia threads humu....[emoji12] [emoji12]