Hii itakuwa nzuri, uandae maswali ya kiutu uzima na sio ya ki...Anytime
Will see you at a good time
DJ sepetu
Yaseme yale yote uliyokuwa unasemaje wakati bosslady hayupo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wewe ni mdhungu sana kwa muda.
Cc. QUIGLEYmmmh nimegundua watu waoga kweli...mbona hiyo mitusi hamkunipa jana? saivi pm na notifications zipo 900 mm nazijibu vp?? acheni ujinga
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaseme yale yote uliyokuwa unasemaje wakati bosslady hayupo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mbavu zanguuu uwiiiiii
Sent using Jamii Forums mobile app
Haaaa haaaa..@ushiman mrembo wetu kaja
Husna_TheBossLady
Nasubir picha ya chura!!nilikuwa serious. yule dada hana hela = choka
Ahaaaaaa haaaa aaah...Ushimen ulisema makombo nini vile wakati bosslady hayupoo???[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Afadhali Mungu ameniepusha na kikombe hiki cha cheche.....
Barikiwa sana mkuu...
Usipomsifia itafaidije upupu wake?Haaaa haaaa..
Sasa hivi kawa mremboo[emoji23] [emoji23]
Wanaume aliyewaloga kafwaaaz u know!
Sent using Jamii Forums mobile app
Chaaaaa!Niko bega kwa bega nawe, sema tu huwa nakurushia vimawe ili wasishtuke, nakukubali sanaaa
Witnessj bhana, hujanisoma tu!
Haaaa haaaa...yaani hapa mbavuu sinaaMchokozi wewe
Asante mama...kama ulikuwa akilini mwanguwanapungukiwa kutokujitambua.
Huu ni uhalisia, ni mshamba kweli, mashauzi ya kijinga sana, mfikishie taarifa
Ahaaaaaa haaaa...muosha marungu huyoomuosha ru gu sijui muosha nini hebu hii kitu iishe. im busy
Upumbavu wetu ndio ujanja wenu ujue, me ni akili kubwa wewe
Kumbe waoga na nyie ...chaaa![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yalikuwa masengenyo yaache bhana
Kwendraaaaa...Usipomsifia itafaidije upupu wake?
Hii ni hook up tu Witnessj mimi niko nawe tu
Hayupooo ndo unachongaaa hapaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Huu ni uhalisia, ni mshamba kweli, mashauzi ya kijinga sana, mfikishie taarifa