atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,497
- 9,728
Sema ww mwanamke mwenzao tukisema ss tunaambiwa tunatoa mapovuDuh!majibu na mbwembwe za huyu interviewee ni hatari
Kama hizi mbwembwe zinamatch na uhalisia wa real life yake basi walio around na yeye kazi wanayo asee
[HASHTAG]#nohardfeelings[/HASHTAG]
Mtu amekumega hadi amevunja kibubu alafu unamuita f*la??.si umalizie tu??? ALIkula...bahati yake tu f*la yule
call my name babyBaby
DJ sepetu
kumega sio ushindi...ni kula tu kama ww unavyoweza kuliwa. binafsi sex naiona ni ishu compulsory, km vile chakula...ni muhimu kwa kila mtu ili aishi
Bas huwezi kuwa na akili kichwani nilikuwa najaribu kupima uwezo wako at last nimekuelewaWema sepetu
tena hili ulilotoa ni la sabuni ya majani ya mapapai
ww ndo ufanye mpango...yaan tafuta helaNitampataje sasa Shemeji fanya Fanya mpango
notedBas huwezi kuwa na akili kichwani nilikuwa najaribu kupima uwezo wako at last nimekuelewa
Sent using Jamii Forums mobile app
naomba uniquote mahali nilipondika au kuacha fingerprints za neno "kujisifia".Na ww hujioni ni mpumbavu kujisifia vitu ambavyo havipo kwenye uhalisia
Sent using Jamii Forums mobile app
USD only...au pale serana wanapokeaga mishilingi yako?Unatoka out kwa tsh
DJ sepetu
im not perfectKwa jibu hili umechemka sweetheart....
Ilitosha kutaja tu huyo unaemjua
sitaki exploiters....wanaume waliopo wanataka mm ndo nilee familia badala yao...my money is mine...waje na zaoDuhh...[emoji15] [emoji15]
Kumbe unataka mwenye hela...[emoji134] [emoji134]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
nimeiona lkn haina mashikoInterview yangu umeiona kule PM?
Sawa babySawa angalia ila usichukue yanayoongelewa.
Duhh.....[emoji15] [emoji15]nimeiona lkn haina mashiko
Hahahahahahaha haki ya mama inenibidi nicheke tuu kwa jinsi huyu dem alivyo zwazwafaida ni kwamba hutajua shida n nn, hasara ni kwamba binafsi km mm napata wakati mgumu kujichanganya na waswahili kama nyinyi
🙂Hahahahahahaha haki ya mama inenibidi nicheke tuu kwa jinsi huyu dem alivyo zwazwa
Sent using Jamii Forums mobile app
changamoto pekee ni kukutana na wanaume wapumbavu wengi kwa siku kuliko wanaojielewa....actually mm headmistress, so huwa naogopwa flani hivi amazing
ndio, sijioni.Na ww hujioni ni mpumbavu kujisifia vitu ambavyo havipo kwenye uhalisia
Sent using Jamii Forums mobile app