HusnaThebosslady live on muosha rungu TV show!

Status
Not open for further replies.
Angalia hiyo annual report ya TBL iliyosainiwa na Mwenyekiti wa TBL waziri mkuu mstaafu cleopa msuya net worth ya TBL haijafika Tilioni 1 hata Vodacom tz hawajafika.
Waongopee wasienda shule

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nakuhurumia. but anyway, kiufupi hizi offcial data huwa zinapikwa.
Kupikwa(creative accounting)kwa taarifa ,ni kwenye faida na sio net worth haswa Kwa kampuni iliyosajiriwa DSE .
Kushusha net worth ni hasara Kwa kampuni na hakuna faida yoyote zaidi uniambie net worth imepikwa iwe juu na sio chini.
Kiufupi achana na haya mambo hujui chochote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…