HusnaThebosslady live on muosha rungu TV show!

Status
Not open for further replies.
Vijana wengi hawana ajira unahisi ni kosa la nani hasa

DJ sepetu
ni kosa lao kwa kutozungusha cv...mbona ndani miezi 4 iliyopita mie nimepokea cv karibu 6 na kuzirecommend??? HAWAPELEKI MAOMBI YA KAZI halafu wanabaki kulilia hawana ajira
 
ni kosa lao kwa kutozungusha cv...mbona ndani miezi 4 iliyopita mie nimepokea cv karibu 6 na kuzirecommend??? HAWAPELEKI MAOMBI YA KAZI halafu wanabaki kulilia hawana ajira
Mmh ushaajiri wewe kama wewe vijana wangapi ktk shirika lako
Kijana yupi hukushawashi kumuajiri

DJ sepetu
 
changamoto pekee ni kukutana na wanaume wapumbavu wengi kwa siku kuliko wanaojielewa....actually mm headmistress, so huwa naogopwa flani hivi amazing
Mwanaume mpumbavu hukoje kwako!?
Na muelewa yukoje!

DJ sepetu
 
mbona kimyaaa... mkimaliza muniambie mie nikaombe kazi tu kwenye hilo shirika nimechoka kukaa huku porini
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…