Boss lady kumbe muuza vitanda vya mbao kama vya kwa fundi selemaniTeh
Wacha nianze kusoma ebu
Amini ya kwambaHivi kumbe sergio kuna wanaojirahisisha humu. [emoji1][emoji1]
Hahaaa. Hatari sana hii mkuuSjui huwa wanawaomba dada zao au wake zao kuhusu suala la Ku chat
Sent using Jamii Forums mobile app
Utamjuaje kama anajirahisisha mkuu?Ndyo maana mm nimepunguza kabsa shobo dundo na wanawake wanaojirahishisha humu
Sent using Jamii Forums mobile app
Emmy mbona umeniuliza swali ngumu ivyo?Utamjuaje kama anajirahisisha mkuu?
Basi achana nalo Sergio. Pole kwa kukuliza swali gumu mkuu.
Hapo sawa maana ningeshindwa kulijibu hadi keshoBasi achana nalo Sergio. Pole kwa kukuliza swali gumu mkuu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Usijali bana nilijua ni swali jepesi kwako kumbe litakuwa gumu hivyo. Basi hakuna shida.
Salute mkuu kwa kunielewaUsijali bana nilijua ni swali jepesi kwako kumbe litakuwa gumu hivyo. Basi hakuna shida.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Usijali Sergio. Pamoja sana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mademu Wa jf wawe verified
DJ sepetu
Makubwaasante
ni mtu mzuri. i mean im female, hummble, calm and hardworking.
niliijua tangu kitambo, mwaka 2012, sema sikujiunga nilikuwa msomaji tu
the boss lady
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Madogo yana nafuu dada.Makubwa
Laan ya kujifanya mwanamke haitamuacha salamaMi nilisema huyu mtu ana ujasiri wa hali ya juu kupost pic zake humu,,
Watu tuna i'd mbili ,tatu kwaajili ya ukitandikwa ban unahamia nyingine ,,
Sijaelewa kwanini wanajifanya wanawake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hili ni ajabu la 10 la dunia kujishau kote kule Mara headmistress kumbe njemba
Sent using Jamii Forums mobile app