Ahahahaha mkuu reta mrejesho hapa vp mlikuwa mnaongea niniHapana mkuu, niponae huku pm namuhoji kwamba.... kwanini amekubali kufanyiwa usahili kabla ya kuniuliza..?
Swahiba nikikukuta na yale makongoro ntakuchapa[emoji28] [emoji28]Aisee. Mamaa wa makongoro
Angekosa rindaIngekula kwako aisee
[emoji23] [emoji23] mkuu we acha tu nusura nirushe ndoano kumbe ningevua nyoka maji!Kwa hyo mkuu ulikua unalifanyia interview dume lenzako huku ukijua ni jike??
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwifwa mijicho vepeeee[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
Hahahaaaaa acha nicheke mie mbiti uko wapi mamandio. maisha yangu n kama yako under CCTV, wazazi wakali, shule ni bweni za girls only, nk
I wish Ushimen atokee pande hii jamani [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mimi ndiyo maana hata PM siendi,unaweza kujikuta unatongoza dumeUsikute hata 10 hatufiki nawaza tu mimi
Mkuu Upepo wa Pesa pigia jibu mstari bana life lisonge mbele.Kwa hyo mkuu ulikua unalifanyia interview dume lenzako huku ukijua ni jike??
Sent using Jamii Forums mobile app
Nayataka wapi mie swahibaSwahiba nikikukuta na yale makongoro ntakuchapa[emoji28] [emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Una akili sana ujue kwahiyo hujawahi kabisa kwenda pm
Tutamchapaaa[emoji23] [emoji23]Hivi ikigundulika Dj sepetu ni Ke itakuaje?
Kabisa yaani na angejuta kuifahamu jfAngekosa rinda
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]I wish Ushimen atokee pande hii jamani [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Atuambie pm walikuwa wanaongea nini[emoji28] [emoji28]
Hahaaaaaa jf sihami wallahKabisa yaani na angejuta kuifahamu jf
Kila siku tunamlalamikia muosha rungu kuwa anaubaguzi wa intaviuu kwa wadada kumbe tuliwakilishwa na Boss wetu hapa.Mwifwa mijicho vepeeee
Hata sijui kuna muonekano gani, nikisikia tu watu wanataja Pm mwili unashtuka[emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Una akili sana ujue kwahiyo hujawahi kabisa kwenda pm
Hapo sasa kumbe Husna kawawakilisha kiroho safi kabisa[emoji28] [emoji28]Kila siku tunamlalamikia muosha rungu kuwa anaubaguzi wa intaviuu kwa wadada kumbe tuliwakilishwa na Boss wetu hapa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] intruder mkubwa yule!Kila siku tunamlalamikia muosha rungu kuwa anaubaguzi wa intaviuu kwa wadada kumbe tuliwakilishwa na Boss wetu hapa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]