Tusihame swahiba kwa vibwanga hivi wacha tuendelee kuwepo mana tunaongeza siku pia.Hahaaaaaa jf sihami wallah
Cuzoo usiwaamini hawa raia[emoji38]Hata sijui kuna muonekano gani, nikisikia tu watu wanataja Pm mwili unashtuka[emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwifwa mbavu zangu mieeee. LolKila siku tunamlalamikia muosha rungu kuwa anaubaguzi wa intaviuu kwa wadada kumbe tuliwakilishwa na Boss wetu hapa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hakuna forum inayonipa raha kama hii kwa kweliTusihame swahiba kwa vibwanga hivi wacha tuendelee kuwepo mana tunaongeza siku pia.
[emoji23] [emoji23]Sasa imagine umemtongoza husna thebossady kule PM na kuhonga umehonga kabisa,hapo ndiyo utajua dunia haina huruma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Atajuta kutufahamu[emoji1]Tutamchapaaa[emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kila siku tunamlalamikia muosha rungu kuwa anaubaguzi wa intaviuu kwa wadada kumbe tuliwakilishwa na Boss wetu hapa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Utaimba pambio[emoji28] [emoji28]Sasa imagine umemtongoza husna thebossady kule PM na kuhonga umehonga kabisa,hapo ndiyo utajua dunia haina huruma.
Sent using Jamii Forums mobile app
DaaahhHapo sasa kumbe Husna kawawakilisha kiroho safi kabisa[emoji28] [emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] una akili sana na wala hawajawahi kukufata pm kwakoHata sijui kuna muonekano gani, nikisikia tu watu wanataja Pm mwili unashtuka[emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Na yule kwa alivyojitangaza anasimamia mradi wa babake sidhani kama akiomba hela yake inakuwa ya kitoto.Sasa imagine umemtongoza husna thebossady kule PM na kuhonga umehonga kabisa,hapo ndiyo utajua dunia haina huruma.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]KumbeeeeCuzoo usiwaamini hawa raia[emoji38]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wewe Mimi Nina mkuyenge[emoji23][emoji23]
DJ sepetu
Hahaaaaaa Mara paaaaaapDaaahh
JF kiboko.
Live long Maxence Melo kwa kubuni mtindo wa ID fake.
Huenda JPM naye tuko naye hapa ananyapia nyapia udaku kupunguza stress za Makinikia, Bombardier na Mikimiki ya Lisu(get well soon)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa gear aliyoingia nayo usikute watu wamepigwa sana mahela hukoSasa imagine umemtongoza husna thebossady kule PM na kuhonga umehonga kabisa,hapo ndiyo utajua dunia haina huruma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Linamo nihurumie niko mbali na MOI[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Utaimba pambio[emoji28] [emoji28]
KabisaaaaaAtajuta kutufahamu[emoji1]