HusnaThebosslady live on muosha rungu TV show!

Status
Not open for further replies.
Daaahh
JF kiboko.

Live long Maxence Melo kwa kubuni mtindo wa ID fake.

Huenda JPM naye tuko naye hapa ananyapia nyapia udaku kupunguza stress za Makinikia, Bombardier na Mikimiki ya Lisu(get well soon)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Haha a a a a a a a a a a[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Husna amejua kunitoa jasho leo yani kwa interview yake kama uko kama mimi unaweza ukajinyonga[emoji23] [emoji23]
Yani unakufuru Mungu kabisa. Dah hapana si kwa daddy ile
 
Daaahh
JF kiboko.

Live long Maxence Melo kwa kubuni mtindo wa ID fake.

Huenda JPM naye tuko naye hapa ananyapia nyapia udaku kupunguza stress za Makinikia, Bombardier na Mikimiki ya Lisu(get well soon)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] halafu ukute na yeye anatumia Id ya Ke na wadau wanaenda Pm kama kawaida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa ila waathirika wanapita kimya kimya tu saa hizi na kutulaani tunavyoliamsha dude. Lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na siku ile walienda pm wengi itakuwa
 
Kabisa ila waathirika wanapita kimya kimya tu saa hizi na kutulaani tunavyoliamsha dude. Lol
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wewe dada yangu na Linamo niko mbali na MOI mjue
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…