Wapo sana kila mtu na lake[emoji1][emoji1]Umeonaeeee wasituharibie kabisa bado wema wapo huku
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kila siku tunamlalamikia muosha rungu kuwa anaubaguzi wa intaviuu kwa wadada kumbe tuliwakilishwa na Boss wetu hapa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama nakuonaHataki kuamini..... Hahaaaa.... Boss bhanaa, wanaume humu hawajabaki salama
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kabisaaa wanaume wengi wanalia kidogo kidogo[emoji28] [emoji28] [emoji28]Hataki kuamini..... Hahaaaa.... Boss bhanaa, wanaume humu hawajabaki salama
Itakuwa njema sana nitamzimikia vizuri hapo hapo(jokes)Usijaliii Husna anakuja
Mwenyewe naanza kuwa na hofu na jinsia yangu.... Kumbe ni makinikia eeehhYani huku wanawake tunahesabika kabisaaa
LabdaaaAu ndo yeye ujue
Sijawaona na si kawaida kwenye mambo hiziWamepata Heart attack[emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mademu wenyewe ndiyo kama hao madume jike[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio za mademu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sipati picha Ushmen yupo kwenye hali gani muda huu[emoji23] [emoji23] ukisikia amebugiaa sumu ya panya usishangae kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaaaaaa usiniue kwa kucheka mambo ya jf ni moto.Mwenyewe naanza kuwa na hofu na jinsia yangu.... Kumbe ni makinikia eeehh
Kabisa na kwa swaga zile mbona hela inatolewa bila ubishi.Utasikia naomba laki tano,nitakurudishia jioni nikifunga mahesabu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa dada mana mpaka wengine tunatembeleana kabisaa.Wengine tumezimikiana mjue na i'd fake zetu hizihizi mpaka tumejuana msitishe wenzenu [emoji1][emoji1]
Ukisikia hizo stori tu,kimbia kabisa tena usiangalie nyuma.[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaaa. Kweli kabisa mana dada ako tunakutana kila leo.Nitaenda kupinga mahakamani dada yangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kweli kabisa kila mtu apambane tu na hali yake atakayokutana nayo sio utujumlishe woteKweli kabisa dada mana mpaka wengine tunatembeleana kabisaa.