Hapo sasa kuna wajinga wachache tu ndo wanao iharibu jfKweli kabisa dada mana mpaka wengine tunatembeleana kabisaa.
Poleni aiseeee
Basi wewe una moyo mashineWengine tumezimikiana mjue na i'd fake zetu hizihizi mpaka tumejuana msitishe wenzenu [emoji1][emoji1]
Wema wapo sema wajinga wachache ndo wanaiharibu jf
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]Hahaaa. Kweli kabisa mana dada ako tunakutana kila leo.
Kabisa dada na ninavyoamini wema ni wengi mno.Kweli kabisa kila mtu apambane tu na hali yake atakayokutana nayo sio utujumlishe wote
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Wanaume wa humu hope mmejifunza[emoji1][emoji1]
Na yule kwa alivyojitangaza anasimamia mradi wa babake sidhani kama akiomba hela yake inakuwa ya kitoto.
Naamini hivyo na wale wachache kutokana na ufake wao ndio mana wanagundulika haraka mana hawajui kusimamia jinsia wanazozichagua.Hapo sasa kuna wajinga wachache tu ndo wanao iharibu jf
Hii ndio JF zaidi ya uijuavyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanatamani jinsia zoteNaamini hivyo na wale wachache kutokana na ufake wao ndio mana wanagundulika haraka mana hawajui kusimamia jinsia wanazozichagua.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Miradi ya kuuza vitanda vya Gestii
Yaaani....Kabisaaa maana si kwa interview yake
Hapo kidume mwenyewe unajitutumua uko radhi hata ukope kwa jiranu ili uonekane,kumbe ndiyo unalizwa hivyo.Kabisa na kwa swaga zile mbona hela inatolewa bila ubishi.
We acha tuu.... Ile siku wanaume akili zilihamaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama nakuona
Moyo mashine gani si lazima muanze kutumiana picha mpaka mvushane nje ya sever za max [emoji1][emoji1]
DaaahhhhHii ndio JF zaidi ya uijuavyo