Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
Wenye tabia za kufuata watu Pm nadhani wamekoma.Wanaume wa humu hope mmejifunza[emoji1][emoji1]
Yaani. Suruali wanataka na magauni pia wanayataka Mungu anawaona aisee.Wanatamani jinsia zote
Walie tuu na wao wamezidiii....Kabisaaa wanaume wengi wanalia kidogo kidogo[emoji28] [emoji28] [emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaaani....
Hizooo picha zinazorushwa humuuuu,,,,,,, Nilishangaa mnoo..... Kama id ni fake picha za nini sasaaa???? Mwalimu bhanaa.... Hebu akuje kwanza
Hebu mods Wajaribu tena na hiyo Red werevaaLabdaaa
Wanavyopenda mtelemko na watoto wakishua [emoji1][emoji1][emoji1] walivyoona boss lady tu ebu nishtulie ushimen jaman nae Ana bahati mbayaWe acha tuu.... Ile siku wanaume akili zilihamaaaa
Yaaani....
Hizooo picha zinazorushwa humuuuu,,,,,,, Nilishangaa mnoo..... Kama id ni fake picha za nini sasaaa???? Mwalimu bhanaa.... Hebu akuje kwanza
Group la telegram?Ngoja tuone naona wako telegram forex
DJ sepetu
Kabisa ili amridhishe bosslady. Waliojilipua kazi wanayo.Hapo kidume mwenyewe unajitutumua uko radhi hata ukope kwa jiranu ili uonekane,kumbe ndiyo unalizwa hivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inabidi niifiche aisee.... Hawa watu hawakawii kuipora ujueHahaaaaaaa usiniue kwa kucheka mambo ya jf ni moto.
Kabisa yaanHii ndio JF zaidi ya uijuavyo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Daaahhhh
Mara paaaap Jose ndio cocochanel(jokes)
Salute JF
Mbona huyo alituma na picha kabisa lakini hamkujua.Moyo mashine gani si lazima muanze kutumiana picha mpaka mvushane nje ya sever za max [emoji1][emoji1]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Daaahhhh
Mara paaaap Jose ndio cocochanel(jokes)
Salute JF
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Daaahhhh
Mara paaaap Jose ndio cocochanel(jokes)
Salute JF
Wallah mmekoma
Hao ndiyo watafanya wanaume wote humu tuonekane hatuna maanaYaani. Suruali wanataka na magauni pia wanayataka Mungu anawaona aisee.