Kukoma haiwezekani ila ndio watakuwa na tahadhari.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii haitakaa itokeeDaaahhhh
Mara paaaap Jose ndio cocochanel(jokes)
Salute JF
Alivyokuwa na madoido sasa[emoji23] [emoji23]Yaaani....
Hizooo picha zinazorushwa humuuuu,,,,,,, Nilishangaa mnoo..... Kama id ni fake picha za nini sasaaa???? Mwalimu bhanaa.... Hebu akuje kwanza
Hawawezi jifunza kabisaa.... Juzi kuna mwingine alikuwa anatupia zenye chura mara kimyaaaa kikatanda.....Wanaume wa humu hope mmejifunza[emoji1][emoji1]
Huku ni kuwa makiniKabisa yaan
Khaaa tunaongelea yetu sisi huyo wa kutuma jukwaan atajua mwenyewe sisi tumeonana ujue huwezi kuanza mahusiano na mtu hamjawahi onana au kumzoea mtu kama rafiki yako hamjuani hope umenipata
Hahaaaaa pole yao aiseeeHawawezi jifunza kabisaa.... Juzi kuna mwingine alikuwa anatupia zenye chura mara kimyaaaa kikatanda.....
telegramGroup la forex lililopo telegraph
DJ sepetu
[emoji38] [emoji38] [emoji38]Daaahhhh
Mara paaaap Jose ndio cocochanel(jokes)
Salute JF
Mwifwa mwifwa mwifwa mdogo wangu. Hebu ishia hapo hapo. Ntakutoa humu ujue.Hahahahaha imenibidi nichekee Sana'a.
Husuna alijiunga JF mwaka huyu mwezi watano.
Erick Otieno anaonekana toka. 2010 yupo JF.
Nahitimisha kwakusema ,,HUSNA A .K A OTIENO NIMFANYAKAZI HALISI WA JF YAAN NAYE NIMOJA YA MODS .
Hahaha a a
Mabwana weepi.... Tulikuwa twawaangalia akili zenu zaishia wapi....Wadada hofu wananyang'anywa mabwana!
DJ sepetu
HahahaWanavyopenda mtelemko na watoto wakishua [emoji1][emoji1][emoji1] walivyoona boss lady tu ebu nishtulie ushimen jaman nae Ana bahati mbaya
Naye ana ID mbili[emoji28]Mwifwa mwifwa mwifwa mdogo wangu. Hebu ishia hapo hapo. Ntakutoa humu ujue.
Wacha kushika sharubu watu wazima.
Naomba unifanyie mkato wa link au uniunge mkuuGroup la forex lililopo telegraph
DJ sepetu
HeeeNdio maana mm napenda mwanya wakoo