Husninyo nakuja.......nipokee tafadhali

Ukikaa mbali na h/g basi unakua umekaa karibu na eliza....and vice versa....

Ili eliza akusaidie kubadilisha Serengeti na Kusafisha meza meza baada ya kukuletea mnyama, baadae akikukumbusha kuwahi nyumbani
 
hheee.....punguza hisia hizo...afu unajua nini Husninyo...usiteme Big G kwa karanga za kuonjeshwa...
......daaah mpwa hapa imenibidi nigonge key board tu ....LOL....! made my day aisee....!

Kimey umekimbilia wapi bana? kuna mtu naona hapa chini inasoma nasikia iko moro bana we ushawahi mwona? (next level)
....heri mm thija thema......kwani anatafutwa?

BWT; Maty kama vp ruka naye room ....huku sebuleni siku hizi kuna mabepari wengi thana........inabidi kwenda kifaragha faragha.....! ila nasikia Teamo, Aspirin,Mchungaji Kaizer et al wanataarifa naye......!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…