Husninyo nakuja.......nipokee tafadhali

nimekusamehe babu kwasababu una mabusara sana ila nakupa kazi ya kulivalisha pendo la ashadii kwa kaizer.

Hapo si nalazimika kuujenga upya moyo uliopondeka wa Ashadii? ......... Dont worry, Yes I Can.... hommie wangu ni heart breaker..... lakini babu mimi ni heart mender............. AshaDii popote ulipo, come this way darling......
 
hope sana bwanaa, issue si ishakuwa solved.

Unasema nini Husny??? kirahisi hivyo.... nina wasi wasi nae... nimempigia simu kaweka voice mail kua yuko out of reach yuko kwenye meeting....

ina maana haijamgusa hii issue na kaona rahisi... hali yangu hapa imenifanya niombe ruhusa kazini... Dah! kweli wanawake tunapenda kwa moyo

wanaume kwa vichwa.... Khhha!
 
Hapo si nalazimika kuujenga upya moyo uliopondeka wa Ashadii? ......... Dont worry, Yes I Can.... hommie wangu ni heart breaker..... lakini babu mimi ni heart mender............. AshaDii popote ulipo, come this way darling......

Babu kweli unaweza the above??

Thats my girl.... and I will marry you......

Babu hapo umekosea tena kutype... alafu tuliweka siri.... tulienda Las Vegas tukafunga ndoa ..... Dah! NAJUTA!!!
 
Dada nenda love Connect kacheke kidogo,kuna jamaa amemwaga mayai vinza!Halafu Shangazi Lizzy yuko wapi?Nimemmiso kinoma!
 
Dada nenda love Connect kacheke kidogo,kuna jamaa amemwaga mayai vinza!Halafu Shangazi Lizzy yuko wapi?Nimemmiso kinoma!

Ngoja niende kaka nina hamu nakucheka.... hapa maumivu.... Usijali Partner Lizzy atakuja bila kuchelewa...
 
Nlifikiri ulifurahi?...LOL

Of course nilifurahi saaaaana.... ilikua bonge la surprise... najuta yalotokea babu.... jamani you are laughing eeeh?? (I may be expecting you know..)
 
Of course nilifurahi saaaaana.... ilikua bonge la surprise... najuta yalotokea babu.... jamani you are laughing eeeh?? (I may be expecting you know..)
Yeah..... I know!..... Now don't tell no body......will you?
 
Yeah..... I know!..... Now don't tell no body......will you?

Not even him?? did not tell him didnt know how he would respond.... Dah! Babu naona nilale kidogo this issue is taking all of my energy... at least

30 mins or an hour.... Kweli babu you are proving to be a GREAT Heart Mender...
 
wanawake tunapenda mazima,...Atakuwa anaandaa mistari ya kuja kukuimbisha. Tena tulivyokuwa rahisi kudanganyika lazima msamaha uombe wewe. Lol.
 
Hapo si nalazimika kuujenga upya moyo uliopondeka wa Ashadii? ......... Dont worry, Yes I Can.... hommie wangu ni heart breaker..... lakini babu mimi ni heart mender............. AshaDii popote ulipo, come this way darling......
kaizer naomba usome hapo kwa nguvu. Mi ngoja niicopy na kupaste.
 
Kaizer Sweetie... naona leo uniache nipumzike... we will talk tomorrow for i am not in my right mind now.... nisije sema nitacho regret.....

Orait baby, I am here already..

Baby AshaDii,
Pole for going through thus Unnecessarily, cause I remeber this thread was posted sometimes in January 2011, and as you are awarem you joined here sometimes in April 2011,

Baby, If you read again you will note that there is nowhere I Indicated that Husninyo is My Woman here,,,, and needless to say even if that was true honey, it wouldnt have mattered cause you would have known it already given your almost 3 months presence and great LOVE for me.

As to why this was brought to surface, Asprin my hommie can have a better say on this (Hope by then you two were in Las Vegas LOL)

And yes, I can write pages, and I can also write short words,BUT it all DEPENDS on what and why I write honey

Now baby stop hurtin' and lets live our life....don't be bothered by the past, lets think of the future together with that precieous :mimba:.

LOVE your more and if there will be someone else that you wil find, then that will be Kaizer,
 
kaizer naomba usome hapo kwa nguvu. Mi ngoja niicopy na kupaste.

Hahaha, Husninyo, babu yako nishamzoea huyu ndo ivo ivo kila siku jipya hakuna,,,,hapa amekosea njia kabisa lol
 
Not even him?? did not tell him didnt know how he would respond.... Dah! Babu naona nilale kidogo this issue is taking all of my energy... at least

30 mins or an hour.... Kweli babu you are proving to be a GREAT Heart Mender...

LOL, babym unawafahamu madaktari wanaofanya operation? A Goood hear mender is also a good heart breaker, It goes without saying LOL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…