Husninyo nakuja.......nipokee tafadhali

Hii thread ndo naiona afu imekimbia sana.

Hommie hebu niambie nini kinaendelea hapa?

Goodmorning!
 
Aah hash unaharibu sasa mshikaji klorokwini kasumbuka sana hapa jamvini mpe chance na hus jamani.

mkuu Uporoto hapo si umeona......nilikuwa sahihi kabisa kuwaaambia japo sharing is caring hapa itakuwa ngumu...unaona mwenyewe fujo zao

hapa nipo mitaa ya mbezi ndani ya tukutuku nachapa mwendo niwahi kufika kwa Husninyo!:smile-big:
 
Hii thread ndo naiona afu imekimbia sana.

Hommie hebu niambie nini kinaendelea hapa?

Goodmorning!

Nina safari ya Idodomya leo kumwona Husninyo....nitarudi na mchango wake!
 
dah,..... kidume unang'aa... hadi dude wangu smiles umeshanikomba?

haya bana, ngoja nivumbue vipaji vipya
 
Usisahau kuniletea nyama chafu ya pale Mbande, tafadhali na kuku toka Kibaigwa!!! By the way na ndoo ya nyanya pale Kandambili!!

Yolanda hahahaaaaaaaaaa na cobra
kweli wahanga wa mbande tupo wengi... hapo bado sonyo la kibaigwa
 
mmmh!
Wasije wakaunguza na hicho ki pc.
Kaizer nishampotezea kwanza nahisi kama babu yangu mjomba ake shangazi yake mama ake mdogo bibi.

hheee.....punguza hisia hizo...afu unajua nini Husninyo...usiteme Big G kwa karanga za kuonjeshwa...
 
Nina safari ya Idodomya leo kumwona Husninyo....nitarudi na mchango wake!

habari lako mkuu?
mkuu, usisahau kuniletea tembele la huko idodomya,
Rose wangu anajua ati kuyaandaa vizuri hayo!!!
Nataraji tukutuku lako, halitashindwa kunichukulia huo mzigo,
Salimia Husninyo bana!!!!!!
 
hahaha, kiongozi...
Rose nimemwambia kuwa kama ulishindwa kumletea mlenda nitauleta mimi kama vipi umpelekee, kama na matembele hakuna noma
yatafika tu
kwa sasa nguvu nimezielekeza Dodoma....
 
My dear.....
tatizo siku ile mlinikimbia mkaenda wenyewe.....:Cry:

"...Everyday I remind myself that my inner and outer life are based on the labor of others....":gossip::gossip:
 
hahaha, kiongozi...
Rose nimemwambia kuwa kama ulishindwa kumletea mlenda nitauleta mimi kama vipi umpelekee, kama na matembele hakuna noma
yatafika tu
kwa sasa nguvu nimezielekeza Dodoma....

Hommie what it do????
 
dah,..... kidume unang'aa... hadi dude wangu smiles umeshanikomba?

haya bana, ngoja nivumbue vipaji vipya

Dah....dude!! sawa tuu....
unajua unavyonitenga hivyo......
mi mikono ya Pope hata siitaki tena......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…