Tetesi: Hussein Bashe hatojibiwa na chombo chochote...

TumainiEl

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
6,782
Reaction score
12,716
Nimecheka mpaka nikalia eti Bashe alikuwa Ana andika vyombo vya ulinzi vichunguzwe hasa Tiss kwa mnyetishaji alie nipa hili drip anasema watu walikuwa wanamuona tangu anapanga wazo na mpaka alipofika. Watu walikuwa wanamchora na kumpa credit aandike ule mukatasari ambao uwenda ulipofika ofisi fulani wali ushread bila hata kusoma. Na inaonekana jamaa baada yakuona kweli jamaa wamepiga cool akatafuta sehem pakwenda kusema ili taarifa ifike kwa haraka na serikali ipanic.

Bashe pole sana kaka serikali haitishwi na simple like that. Jamaa wakasema acha aseme anachofikiri lakini pia hatojibiwa. Jamaa akatoka apovu ila nyuma ya pazia wameuacha na panic mwenyewe maana inahuzunisha. Ina maana Bashe hakujuwa wanamsukumia motoni na kisha ajikute mwenyewe? Hhehehhe

Kiufupi hatojibiwa na wenye akili tulisema hatojibiwa ila moderator mkafuta sasa amejibiwa?
Huko bungeni sijuwi hata kama utapata nafasi kuandikwa umepokelewa nahisi...... Nakaa kimya.

Bashe tafakari wanao kutuma. Usalama wetu sio kama wa somalia au ruwanda ama burundi Tz tupo level nyingine my dear. Pole sana
 
Mbona Mwigulu keshamjibu, si ajabu hata huko Somalia Bashe hakujui zaidi ya mababu zake walioishi huko, hata lisipozungumzwa ataliongelea bungeni.
 
Nimecheka mpaka nikalia eti Bashe alikuwa Ana andika vyombo vya ulinzi vichunguzwe hasa Tiss kwa mnyetishaji alie nipa hili drip anasema watu walikuwa wanamuona tangu anapanga wazo na mpaka alipofika. Watu walikuwa wanamchora na kumpa credit aandike ule mukatasari ambao uwenda ulipofika ofisi fulani wali ushread bila hata kusoma. Na inaonekana jamaa baada yakuona kweli jamaa wamepiga cool akatafuta sehem pakwenda kusema ili taarifa ifike kwa haraka na serikali ipanic.

Bashe pole sana kaka serikali haitishwi na simple like that. Jamaa wakasema acha aseme anachofikiri lakini pia hatojibiwa. Jamaa akatoka apovu ila nyuma ya pazia wameuacha na panic mwenyewe maana inahuzunisha. Ina maana Bashe hakujuwa wanamsukumia motoni na kisha ajikute mwenyewe? Hhehehhe

Kiufupi hatojibiwa na wenye akili tulisema hatojibiwa ila moderator mkafuta sasa amejibiwa?
Huko bungeni sijuwi hata kama utapata nafasi kuandikwa umepokelewa nahisi...... Nakaa kimya.

Bashe tafakari wanao kutuma. Usalama wetu sio kama wa somalia au ruwanda ama burundi Tz tupo level nyingine my dear. Pole sana

Aisee kumbe serikali ndio mnaiendesha kama kindergarten namna hii?

Eti tunamchora!Mitoto mikubwa!

Halafu nakwambia..."Mzaha mzaha hutumbua usaha"
 
Yaani mnamjibu mange mnamuacha kumjibu bashe.... Haha
 
Nimecheka mpaka nikalia eti Bashe alikuwa Ana andika vyombo vya ulinzi vichunguzwe hasa Tiss kwa mnyetishaji alie nipa hili drip anasema watu walikuwa wanamuona tangu anapanga wazo na mpaka alipofika. Watu walikuwa wanamchora na kumpa credit aandike ule mukatasari ambao uwenda ulipofika ofisi fulani wali ushread bila hata kusoma. Na inaonekana jamaa baada yakuona kweli jamaa wamepiga cool akatafuta sehem pakwenda kusema ili taarifa ifike kwa haraka na serikali ipanic.

Bashe pole sana kaka serikali haitishwi na simple like that. Jamaa wakasema acha aseme anachofikiri lakini pia hatojibiwa. Jamaa akatoka apovu ila nyuma ya pazia wameuacha na panic mwenyewe maana inahuzunisha. Ina maana Bashe hakujuwa wanamsukumia motoni na kisha ajikute mwenyewe? Hhehehhe

Kiufupi hatojibiwa na wenye akili tulisema hatojibiwa ila moderator mkafuta sasa amejibiwa?
Huko bungeni sijuwi hata kama utapata nafasi kuandikwa umepokelewa nahisi...... Nakaa kimya.

Bashe tafakari wanao kutuma. Usalama wetu sio kama wa somalia au ruwanda ama burundi Tz tupo level nyingine my dear. Pole sana
Ukimjibu ww inatosha. Serikali ni mimi, ww na yule.
 
Usalama gani imara?enzi za nyerere ndiyo kulikuwa na usalama wa taifa,kwanza humjui mkuu wake wala maafisa wake, hawa wa siku hizi anakunywa kahawa kwenye vijiwe na kuwaambia yeye ni Tiss.kwa taarifa yako kwenye Tiss ya sasa haina lolote kwani wanajulikana kila kona imekuwa ni fashion kujitambulisha,Rwanda imeimprove sana na iko level ingine ndiyo maana JK alijaribu akashindwa.
 
26042018 Magufuli atafanyiwa kile alichofanyiwa Col. Gadafi kwenye lile kalavati. Hatutahitaji hata kujua kaburi lake liko wapi
Yaani mimi ndio ningekuwa ni RAIS wa nchi hii...yaani wewe uliyeandika huu upuuzi MBONA JF lazima wangenipa information zako afu ukaonyeshe hilo KABULI...unaandika upuuzi upuuzi afu upo nyuma ya KEYBOARD...WEWE MPUUZI KWELI
 
hivi ni kipi kinachokufurahisha kuuawa watanzania wenzio ?
 
Yaani mimi ndio ningekuwa ni RAIS wa nchi hii...yaani wewe uliyeandika huu upuuzi MBONA JF lazima wangenipa information zako afu ukaonyeshe hilo KABULI...unaandika upuuzi upuuzi afu upo nyuma ya KEYBOARD...WEWE MPUUZI KWELI
jf si kama gazeti la kufungia chapati la uhuru mjomba
 
Usalama gani imara?enzi za nyerere ndiyo kulikuwa na usalama wa taifa,kwanza humjui mkuu wake wala maafisa wake, hawa wa siku hizi anakunywa kahawa kwenye vijiwe na kuwaambia yeye ni Tiss.kwa taarifa yako kwenye Tiss ya sasa haina lolote kwani wanajulikana kila kona imekuwa ni fashion kujitambulisha,Rwanda imeimprove sana na iko level ingine ndiyo maana JK alijaribu akashindwa.
Jk alijaribu nini
Wacha kukurupuka
kuna kitu Jk alijaribu kukifanya zidi ya Rwanda
 
Yaani mimi ndio ningekuwa ni RAIS wa nchi hii...yaani wewe uliyeandika huu upuuzi MBONA JF lazima wangenipa information zako afu ukaonyeshe hilo KABULI...unaandika upuuzi upuuzi afu upo nyuma ya KEYBOARD...WEWE MPUUZI KWELI
Mpuuzi ni yule anayepayuka kila siku aombewe na hataki wenzake waombewe. Huyo ndiyo mpuuzi wa kiwango cha lami
 
Yaani mnamjibu mange mnamuacha kumjibu bashe.... Haha mange kawafunua nyeti zenu.
Kwetu mtoto asie na breki, anaekwenda katikati ya kijiji na kunadi kuwa "BABA ANAWEKA HELA CHINI YA GODORO" hua tunamuita:

KISEBENGO.

Hajafanya lolote baya.
Amesema ukweli tu.

Lakini hivi kesho na keshokutwa tukitaka kuzungumza mambo ya kifamilia tutamjumuisha huyu?
 
Aacha kwanza kuwa ndimi mbili ndo ataeleweka. Mara unajifanya unatetea wananchi mara useme wapigwe tu maana hawana pa kusemea.

Ukishakuwa ndumilakuwili lazima ukataliwe tu. Watu wajifunze sana maneno ya kuongoe wanapokuwa kwenye public. La sivyo yanaweza kuwacost maisha yao yote.
 
Yaani mimi ndio ningekuwa ni RAIS wa nchi hii...yaani wewe uliyeandika huu upuuzi MBONA JF lazima wangenipa information zako afu ukaonyeshe hilo KABULI...unaandika upuuzi upuuzi afu upo nyuma ya KEYBOARD...WEWE MPUUZI KWELI
Ndio maana wewe sio rais sababu IQ yako ndogo uwezo wako wa kufikiri ni sifuri.
Haustahili hata kuosha vyoo vya Ikulu.
Wazzock
 
Kwetu mtoto asie na breki, anaekwenda katikati ya kijiji na kunadi kuwa "BABA ANAWEKA HELA CHINI YA GODORO" hua tunamuita:

KISEBENGO.

Hajafanya lolote baya.
Amesema ukweli tu.

Lakini hivi kesho na keshokutwa tukitaka kuzungumza mambo ya kifamilia tutamjumuisha huyu?
hv nanyie bado mnafamilia mnavyokwarurana kila siku humo ndani...
 
The question remains is Bashe right or wrong!?!?
Mengine ni ulofa tu wa nyie vijana uwe CCM, Upinzani au wasio na itikadi.
 
Back
Top Bottom