MANKA MUSA
JF-Expert Member
- Jul 9, 2014
- 924
- 1,096
Waziri wa Kilimo muda huu akiwa anahutubia katika mkutano wa hadhara mkoani Manyara amesema kuwa Wakulima matatizo yao hayaondolewi kwa kuleta vitisho bali kwa uwezo wa kushirikiana nchi yetu itapiga hatua katika maendeleo ya kilimo kwa kuwa kilimo ni Biashara.
Bashe amesema kuwa hela zinazokuja kwenye kilimo hazitakuwa za semina na warsha bali kuleta maendeleo katika ruzuku, pembejeo na kuleta unafuu wa mbegu bora.
Bashe amesema kuwa hela zinazokuja kwenye kilimo hazitakuwa za semina na warsha bali kuleta maendeleo katika ruzuku, pembejeo na kuleta unafuu wa mbegu bora.