Kwa Tanzania na Afrika kwa ujumla, siasa ni utajiri.Kwa namna ya pekee nichukue nafasi hii kumpongeza Waziri Bashe Kwa kuwa muwazi na kusaidia kuthibitisha kwamba Wabunge wa Tanzania si Tabaka moja na wapiga Kura.
Ametajirika leo anakuwa na kauli za dharauAkijibu hoja ya Luhaga Mpina kuhusu uagizaji na uingizaji wa Sukari nchini, Waziri wa Kilimo Hussein Bashe hapo Jana bungeni alisema, "Sukari ni chakula cha watu masikini, ndo maana Wabunge mkienda kantini mnaulizwa, unataka Sukari?" Na huwa mnachagua asali Kwa sababu nyie si masikini.
Sisi matajiri tunatumia Sugar free diet.Kwani sukari inatumika kwenye chai tu ?
Na wakimaliza miaka mitano wanarudi kitaa kuombaombaHakuna tajiri aliyeajiriwa miaka 5 tu.
Huko ni kujisahau. Hata asali inategemea inatoka wapi. Asali wanayotumia matajiri duniani imepimwa sio zetu za urambo zilizojaa nicotin za tumbaku unakuwa hauna tofauti na mtu anayevuta fegi au ugoro.
Huo msitari wako wa mwisho una maana kubwa sana,mfundishe mwanao kuuzingatia.Akijibu hoja ya Luhaga Mpina kuhusu uagizaji na uingizaji wa Sukari nchini, Waziri wa Kilimo Hussein Bashe hapo Jana bungeni alisema, "Sukari ni chakula cha watu masikini, ndo maana Wabunge mkienda kantini mnaulizwa, unataka Sukari?" Na huwa mnachagua asali Kwa sababu nyie si masikini.
Kwa namna ya pekee nichukue nafasi hii kumpongeza Waziri Bashe Kwa kuwa muwazi na kusaidia kuthibitisha kwamba Wabunge wa Tanzania si Tanaka moja na wapiga Kura. Hivyo ni Wazi nchi imetengeneza Matajiri kuwa wawakilishi wa masikini.
ASANTE WAZIRI BASHE KWA SOMO ZURI.
Hajatukana,umemtafisiri vibaya tu kama ambavyo tulitafusiri vibaya kauli ya VIJICENTI.Kwaiyo kaona atutukane wazi wazi
Masikini wanatumika kuhalalisha uhalifu wa hawa watu hoja ya Mpina haijajibiwa kupitia sukari kwa makusudi watu wanajinufaisha kwa kigezo na kisingizio cha dharula leo hii huyo waziri akiambiwa atake majina ya wote waliopatiwa vibali vya kuagiza sukari toka nje hapa kila mmoja wetu ataelewa anachokisema Mpina hivyo tusitumie masikini kuhalalisha uhalifu na wiziAkijibu hoja ya Luhaga Mpina kuhusu uagizaji na uingizaji wa Sukari nchini, Waziri wa Kilimo Hussein Bashe hapo Jana bungeni alisema, "Sukari ni chakula cha watu masikini, ndo maana Wabunge mkienda kantini mnaulizwa, unataka Sukari?" Na huwa mnachagua asali Kwa sababu nyie si masikini.
Kwa namna ya pekee nichukue nafasi hii kumpongeza Waziri Bashe kwa kuwa muwazi na kusaidia kuthibitisha kwamba Wabunge wa Tanzania si Tabaka moja na wapiga Kura. Hivyo ni Wazi nchi imetengeneza Matajiri kuwa wawakilishi wa masikini.
ASANTE WAZIRI BASHE KWA SOMO ZURI.
Hiyo ndio sumu kabisaSisi matajiri tunatumia Sugar free diet.