Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Alud bongo 2 uko kenya life lmemshnda
Aliondoka bongo kwa mbwembwe, mara oh muziki wa bongo unafiki mwingi, mara oh nimehamia kenya kwavile sio wanafiki na watu wa huku wananipenda sana.But cha ajabu hasikiki tena,bora alivyokuwa bongo. Bora arudi nyumbani kwa Kidbway tena
Wasanii wanapenda mademu wakizungu ehh
Machozi hana mvuto ata aimbe vipi. Kwanza alivyo usoni anatia huruma.