Uchaguzi 2020 Hussein Msopa maarufu kama 'Sheikh Sharif Majini' amechukua fomu ya kugombea Ubunge jimbo la Handeni Vijijini kupitia CCM

Uchaguzi 2020 Hussein Msopa maarufu kama 'Sheikh Sharif Majini' amechukua fomu ya kugombea Ubunge jimbo la Handeni Vijijini kupitia CCM

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
88,759
Reaction score
123,368
1594838932096.png

Hussein Msopa maarufu kama 'Sheikh Sharif Majini' amechukua fomu ya kugombea Ubunge katika Jimbo la Handeni Vijijini Mkoani Tanga kupitia CCM.
 
Huu upumbavu utafutiwe mwarobaini nao ni kuondoa kipengere cha kujua kusoma na kuandika iwe diploma ama shahada hawa wapumbavu wanataka kuzoea
 
Hapo mtu kupigwa jini nje nje! [emoji23][emoji23][emoji23] ushindi nje nje, na ole atakaepambama nae! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
 
Hawa ndiyo wawakilishi watakaopewa bunge live?
 
Kwa bunge la kupiga makofi, kuabudu, kusifu na kutukuza ndio wanaofaa. Anaweza pewa nafasi atoe hoja juu ya maono mfalme wa kudumu.
 
Na nyie mnaojifanya mna akili si mchukue fomu au mnaogopa?

Ubunge sio nafasi ya utaalamu bali kuwasemea watu matatizo yao.
 
SI tuliwaambia Ubunge iwe walau elimu ya kidato cha nne mkagoma - mnaona sasa utani huu wa 2020 ulivyokuwa.
 
Utashangaa rais, pm, madokta na maprofesa wote waliomo ccm wanakwenda kumpigia kampeni ashinde
 
Back
Top Bottom