Uchaguzi 2020 Hussein Msopa maarufu kama 'Sheikh Sharif Majini' amechukua fomu ya kugombea Ubunge jimbo la Handeni Vijijini kupitia CCM

Huu upumbavu utafutiwe mwarobaini nao ni kuondoa kipengere cha kujua kusoma na kuandika iwe diploma ama shahada hawa wapumbavu wanataka kuzoea
 
Hapo mtu kupigwa jini nje nje! [emoji23][emoji23][emoji23] ushindi nje nje, na ole atakaepambama nae! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
 
Hawa ndiyo wawakilishi watakaopewa bunge live?
 
Ccm ina watia nia wa ajaabu ajabu
Ccm ni kama jalala tu
 
Kwa bunge la kupiga makofi, kuabudu, kusifu na kutukuza ndio wanaofaa. Anaweza pewa nafasi atoe hoja juu ya maono mfalme wa kudumu.
 
Na nyie mnaojifanya mna akili si mchukue fomu au mnaogopa?

Ubunge sio nafasi ya utaalamu bali kuwasemea watu matatizo yao.
 
SI tuliwaambia Ubunge iwe walau elimu ya kidato cha nne mkagoma - mnaona sasa utani huu wa 2020 ulivyokuwa.
 
Utashangaa rais, pm, madokta na maprofesa wote waliomo ccm wanakwenda kumpigia kampeni ashinde
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…