Hussen Jumbe kaimba na bendi ngapi za muziki?

Hussen Jumbe kaimba na bendi ngapi za muziki?

Tuo Tuo

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2013
Posts
678
Reaction score
1,202
Wakuu,

Kuna nyimbo za husen jumbe nazitafuta sana bila mafanikio. Nilizisikia zamani sana wakati mtoto sasa zimeganda kichwani.

Naombeni mnisaidie kutaja band ambazo ameimba nazo au ameshirikishwa.

Mfano wa nyimbo ninazotafuta ambazo Hussen jumbe alikuwemo;

1. Sarafina (ndoa)
2. Kachichi
3. Nani ajuaye kesho, nk.
 
Wataalam wa nyimbo za zamani tusaidiane
 
Isaya-sikinde
Dalili zilionesha mwanzo tungetengana nawe-msondo
Ajali-msondo
N.k
 
Back
Top Bottom