Husseni Mwinyi na priorities za JWTZ

Jamani issue ya Darfur ni ngumu sana...haiko simple kama tunavyofikiria.
 

DUH!

mkapa mmeona mambo yake hayo?

kwa hiyo Pemba ikijitenga watatoa m statement kama huu au?
 
Mwanakjj issue ya Biafra ulikuwa UDINI wa Nyerere...hizo ulizoweka weka hapo juu ni maneno ya kisiasa.

Labda niulize...Hivi kwanini hatukupeleka wanajeshi Burundi au Rwanda wakati mauaji yanafanyika? au marais wetu wa wakati huo hawakuona Umuhimu...na hapo sie tupo so close?

Mwanakjj, utetezi wako kwa wanajeshi wetu comoro ni kuwa tu wameshinda...lkn wangekuja wamekufa wote au nusu nafikiri Ungeweka petition kubwa sana. Kimsingi tunahitaji kuhoji kila kitu ambacho kita involve Rasilimali za NCHI...Kama ktk kesi kama hii hutaki kuhojo maamuzi ya Amir Jeshi, why kuhoji maeneo mengine ya uchumi...Ukraine issue...

kama hivyo ndivyo, Kuna watu wameweka habari hapa kuwa mwanajeshi anapokuwa huko anatakiwa kulipwa $9,000-$10,000/month...Je ni kweli? kama kweli hawa wanajeshi wetu wamepewa kiasi gani? Je serikali inafanya biashara ktk VITA? suppose serikali imetuma wanajeshi 200@$10,000=$200,000, assume hao wanajeshi wamepewa $5,000/month, that means $100,000*(miezi walokaa Comoro) imekwenda Hazina au ktk mifuko ya wajanja/Mafisaidi?

Susuviri kaweka Mchango wa maana sana na ungetosha kujua Viongozi wetu wanatafuta NINI...ktk Midani ya SIASA za NJE, waonekane wao watu wa AMAN..wakati mambo ya Home-TZ yamewashinda
 
Mwanakjj issue ya Biafra ulikuwa UDINI wa Nyerere...hizo ulizoweka weka hapo juu ni maneno ya kisiasa.


Ni madai unayoyatoa wewe, onesha ushahidi wa kwanini ni udini wa Nyerere? Je Nyerere aliitambua Palestina na kwanini?
Labda niulize...Hivi kwanini hatukupeleka wanajeshi Burundi au Rwanda wakati mauaji yanafanyika? au marais wetu wa wakati huo hawakuona Umuhimu...na hapo sie tupo so close?

Tuliombwa kupeleka na tukakataa au ulitaka tujitolee tu? Wale waliokuwapo kule UN na wabelgiji walifanya nini?

Mwanakjj, utetezi wako kwa wanajeshi wetu comoro ni kuwa tu wameshinda...lkn wangekuja wamekufa wote au nusu nafikiri Ungeweka petition kubwa sana.

Again unaniweka kwenye kundi la watu wanao react emotionally, I don't. Nyie wenye hisia na mnaoongozwa na hisia ndio mtashindwa kufanya maamuzi magumu kwa kuogopa damu au vurugu. Siko kwenye kundi hilo na to tell you the truth hujui ninachowaza so don't try to kuniwazia nitakachofanya, I'm my own man sihitaji kufikiriwa nitafanya nini na mtu mwingine.

Kimsingi tunahitaji kuhoji kila kitu ambacho kita involve Rasilimali za NCHI...Kama ktk kesi kama hii hutaki kuhojo maamuzi ya Amir Jeshi, why kuhoji maeneo mengine ya uchumi...Ukraine issue...

Umechanganya mambo; kuhoji si tatizo na niko tayari kuhoji jambo lolote lile lakini kuhoji kwa misingi ya kupotosha siungi mkono. Ndio maana nilipinga pale Wangwe aliposema uongo kwenye BBC kwa sababu hakuwa anajua anachozungumzia. Unapohoji hakikisha una msingi wa kusimamia; usisimamie uongo, ni rahisi kuanguka.


speculation haisaidii kwani kila mtu anaweza kuja na ya kwake. Kusema ilikuwa hivi au itakuwa vili bila msingi ni kuonesha kushindwa kufikiri. Toa mahali pa kuanzia ni wapi paliposemwa kiasi wanajeshi wanapaswa kulipwa kwa mwezi halafu tuanzie hapo kusema "fulani kasema" kwenye suala zito kama hili ni kutotenda haki. Kwanini, kabla ya kuanza kulalamika hamjajaribu kutafuta maelezo toka kwa Membe au Mwamunyange ili angalau muwe na pa kuanzia?

Susuviri kaweka Mchango wa maana sana na ungetosha kujua Viongozi wetu wanatafuta NINI...ktk Midani ya SIASA za NJE, waonekane wao watu wa AMAN..wakati mambo ya Home-TZ yamewashinda

Well kila mtu ana maoni yake. Lakini ukweli unabakia pale pale:

a. Tanzania haikwenda vitani - hakukuwa na tangazo la vita
b. Rais ameamuru majeshi ndani ya uwezo wake
c. Ni kutokuwajibika kuitakia nchi yako kushindwa ili upate point za kisiasa.
 
vp kule ktk ile mada yetu,ulisema utakuja na fat-wa kuhusu khitma,40 etc.nasubiri majibu yako mkuu.si unajua SUBIRA NGUMU baadhi ya wakati.

mhhh ile mada ilikuwa ni taarifa ya kifo na hitma sasa sijajua kama pale ni mahala pake kujadili hitma...huoni kama ingekuwa bora tukaijadili kwenye Dini?

mie unajua haya mambo ya dini dini huwa siyapendi lakini that said ninayo illllm ya hapa na pale au waonaje?
 
by the way HUSSEIN MWINYI amelala saa hizi na wanae na wanatumia vyoo vya kuflash huku mbagala wananchi pamoja na wanajeshi wetu wanendelea kungatwa na mbu nje huku hata vyoo vya mashimo hawana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…