connections
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 2,190
- 3,039
Kenya!Hustler aliahidi kuwainua Bodaboda na Mama Mboga (bottom-up) Baadae tu ya Kuapa akaanza kulamba Asali na kusahau "hustler" wenzake.
Kenya kila anayeingia anaangalia apige wapi. Zakayo alienda treasury kuchota 14 bn Ksh baada ya kuapishwa akidai ni pesa yake ya kampeni, arudishiweNchi ilianza kuharibikia kwenye mikopo ya korona. Magufuli aliwaambia ukweli kwamba wangekuja kulia njia siku moja.
Unao ushahidi?Kenya kila anayeingia anaangalia apige wapi. Zakayo alienda treasury kuchota 14 bn Ksh baada ya kuapishwa akidai ni pesa yake ya kampeni, arudishiwe
Tuzibe kwetu kwanza huku tukimshibisha jiraniUnao ushahidi?
Hawafikii upigaji wa kwenye hii Serikali ya CCM.Kenya kila anayeingia anaangalia apige wapi. Zakayo alienda treasury kuchota 14 bn Ksh baada ya kuapishwa akidai ni pesa yake ya kampeni, arudishiwe
Ndio vizuri just kama manyumbu yanavyodanganywa na Machadema huko 😁😁Hustler aliahidi kuwainua ,(badala yake KAWABINUA Bodaboda na Mama Mboga (bottom-up) Baada tu ya Kuapa akaanza kulamba Asali na kusahau "hustler" wenzake. Sasa hivi wanaandamana wanaitwa WAHAINI
Wacha awakamua hao mazombiRuto kakalia chuma
Gachagua Hana hela Wala busara