Hutachukiwa na walimwengu bila sababu

Charge

Member
Joined
Jun 17, 2019
Posts
91
Reaction score
160
Umepita mda kidogo toka kisa hiki kinitokee,kama miezi mitatu imepita.

Mtaa ni ninao fanya ni karibu sana na kitu cha daladala,pia zile kama unafanya unakua maarufu sababbu ya fani yani.

Sas siku moja natoka kazin naelekea kituoni kupanda,kufika kituoni nikakuta gari bado inangojea abilia.
Nikavaa earphone zangu na kuendelea kuchat,baada ya mda nikakumbuka maeneo ya home hapan vocha ninazo zihitaji so ikabidi nichomoke chapu nikachukue vocha.

Nikaenda nakimbia dukani na kurudi haraka,ile na narudi wale nasikia kelele ohoo si jamaa fara sana yule... anajiona sana bora gari lingemuacha.

brah brah nyingii, mm nilikua nacheka tu.Sababu nafahamu mda mwingine mtu ukiwa huna pesa bhana na mastress yako utatafuta sehemu ya kuyapunguzia.
 
Una personality disorder ww, ulijuaje wanakisema wewe?
 
Baada ya kurudi kwenye seat yangu ndo naambiwa simu yangu ndogo niliindosha kwa hiyo nilikua naitwa sijasikia,sababu nilikua nimeweka earphone masikioni.

Kulikua hamna aja ya kuongea yote matusi yale,lugha nzur ilikua inaitajika.
 
Mwenzio nilfinywa na kusonywa na Ngwimba (Dem) ndani ya daladala afu hata simjui hanijui
af ata skumuelew anatak nn koz alfinya haswaa alicha alama
Ashukurie Mungu mm ni introvert
Binadam bwan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…