General directory
Member
- Jun 17, 2013
- 74
- 8
Application ilishafungwa, so kama wewe unataka kuja kulia ooh! Sijapata chuo usijekutueleza sisi cz ulishapewa taarifa.
Dah so profile zetu zitakuwa approved Iini?
watatoa lini majina mkuu?
Thread ya wageni hii piteni kimya
Lini wanatoa post hizo? tujue tumepangiwa wapi