hutojua wa ukweli

hutojua wa ukweli

Vaislay

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2011
Posts
4,532
Reaction score
1,829
wanaume wengi hamfahamu nani anakupenda kweli au msichana gani hakudanganyi......tatizo ni nini?
 
Because man don't love, we admire, Love and admire are two different things. Love has long way to go but admire ends on sex. We always admire because we judge by eyes. If you what to love use your heart.
 
utajuaje ndugu maana Muongo anajua mwenyewe tu....halafu wanawake wakiambiwa ukweli ndo huwapati kabisaaaaaaa na ukidanganya simple and easy you get them....
 
wanawake wakimpenda mtu kweli hujikausha tu...
mara chache utaambiwa..
but wale wakukuchuna,utaambiwa mara tatu kwa siku lol
 
utajuaje ndugu maana Muongo anajua mwenyewe tu....halafu wanawake wakiambiwa ukweli ndo huwapati kabisaaaaaaa na ukidanganya simple and easy you get them....
nahisi sio wanawake peke yao, hata sisi wanaume huwa tukiambiwa ukweli tunavimba. So mi naamini hii ni kama kasumba.
 
Back
Top Bottom