Onother human problem!wanaume wengi hamfahamu nani anakupenda kweli au msichana gani hakudanganyi......tatizo ni nini?
nahisi sio wanawake peke yao, hata sisi wanaume huwa tukiambiwa ukweli tunavimba. So mi naamini hii ni kama kasumba.utajuaje ndugu maana Muongo anajua mwenyewe tu....halafu wanawake wakiambiwa ukweli ndo huwapati kabisaaaaaaa na ukidanganya simple and easy you get them....