"Hutopata mwanamke atakayekupenda kama mimi."

Sijawahi huwa nakaa kimya anarudi mwenyewe eti oh kote nilikoenda hakua kama wewe nipe nafasi sjui utajona upo eden.hahhahaha raha kweli mtu akijirudi halafu ndo humtaki tena

kweli?utakuwa na ki x factor.
 
Of course hutapata kama yeye!
Mimi nilishambiwa na mwanaume kauli hiyo, kimoyo moyo nikasema; "nitafurahi nisipopata atakayenipenda kama wewe".

Guys kila mtu ni unique, na kama umempata anayekupenda zaidi ya X, meaning hujapata anayekupenda kama ur X; which can be good or bad news.
 
Mimi hayo maneno niliwahi ambiwa na mwanaume...sijawahi kuachwa maishani...mara zote mimi ndio naacha nikiona dalili za ndivyo sivyo.
 
Bora hayo. Mimi nilishaambiwa " NITAKUPIGA RISASI YA KICHWA"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…