Kwani waislamu hawaamini maria ni mama wa yesu?Wewe ndo umechanganyikiwa. Huo mkataba wa bandari umeutaja wewe sio mimi
Sio kweli Yesu anaitwa Isa bin Maryam na kwenye Qur'an ipo sura inayomzungumzia Maryamu na amepewa heshima na kutambulika kama mja mwema na Mama yake Yesu.
Nimekuuliza wewe uliyeleta mada mkuu labda unaweza kuwa na majibu ya kuridhisha zaidi maana mpaka umefungulia uzi inamaanisha kuna kitu unataka kutufunza mkuu .
Kuukataa ukweli bado hauubadili ukweli kuwa uongo ni sawa sawa na mtu akatae hakuna kufa na wakati watu kila siku wanakufa , atheists na polytheist kama wewe mna kitu kimoja in common.Wazungu na waarabu wanayachora tu mazuzu ya kiafrika yanayo shupaza Shingo kupigania dini za wenyewe.
Ni umbali gani kutoka msikitini hadi makao makuu ya DPW?Msikiti unaitwa " Maria Mama wa Yesu" na unapatikana Dubai...
Wakristu na waislamu huwaga ni wale wale..
Ndio maana akina Yericko Nyerere wameona warudi zao kwenye dini za asili za kumuomba Mungu kupitia mababu.
As for me,.I shall go with my traditional ancestral veneration.
Sifuati dini ya Mzungu wala ya mwarabu.
View attachment 2724538