Huu hapa ukweli wa Yanga Sc kutinga robo fainali Mara tatu kwenye michuano Ya klabu bingwa Africa kabla ya kubadilishwa jina michuano hiyo

Ndugu mbumbumbu Ina maana History ya Simba Ina anzia wewe ulipozaliwa mwaka 2000!! matokeo yote waliyopata Simba yanakua ya Historia ya zama za mawe?
HAWA JAMAA AKILI HAMNA.
 
Ndugu mbumbumbu Ina maana History ya Simba Ina anzia wewe ulipozaliwa mwaka 2000!! matokeo yote waliyopata Simba yanakua ya Historia ya zama za mawe?
Ndugu chura nitajie hicho kikosi chenu cha mwaka 1969/1970 kilichoingia robo
 
Yanga bwana! Mnakula matapishi yenu. Nyie si ndio mlikuwa mnakataa kuwa Simba hakuwahi kucheza kombe la Confederation kisa lilibadilishwa jina?
 
Yanga bwana! Mnakula matapishi yenu. Nyie si ndio mlikuwa mnakataa kuwa Simba hakuwahi kucheza kombe la Confederation kisa lilibadilishwa jina?
Na aliyekua anasema Yanga hawakuwahi kucheza robo ni Nani?!
 
Hizi story tuwaachie 5imba,tufocus na jinsi ya kuingia nusu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…