Chinga One JF-Expert Member Joined May 7, 2013 Posts 11,469 Reaction score 12,391 Jan 4, 2022 #1 Sehemu ya 16 ya kanuni za kudumu za Bunge inafafanua kwa uzuri kabisa jinsi ya kumuondoa Spika na Naibu Spika. Enjoy!
Sehemu ya 16 ya kanuni za kudumu za Bunge inafafanua kwa uzuri kabisa jinsi ya kumuondoa Spika na Naibu Spika. Enjoy!
Chinga One JF-Expert Member Joined May 7, 2013 Posts 11,469 Reaction score 12,391 Jan 4, 2022 Thread starter #2 Hivi hatuwezi kupata kichwa kimoja akabeba hoja ya Covid 19 kuwepo bungeni bila chama tukamla kichwa Mkoma?
Hivi hatuwezi kupata kichwa kimoja akabeba hoja ya Covid 19 kuwepo bungeni bila chama tukamla kichwa Mkoma?
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 48,475 Reaction score 70,102 Jan 4, 2022 #3 Hoja ya kumuondoa spika wa bunge inapelekwa kwa Katibu aliyechaguliwa na Rais!
Mfikirishi JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 8,939 Reaction score 10,403 Jan 7, 2022 #4 Yoda said: Hoja ya kumuondoa spika wa bunge inapelekwa kwa Katibu aliyechaguliwa na Rais! Click to expand... Katiba ya ovyo ovyo sana!!
Yoda said: Hoja ya kumuondoa spika wa bunge inapelekwa kwa Katibu aliyechaguliwa na Rais! Click to expand... Katiba ya ovyo ovyo sana!!