JONAS HERMAN
Member
- Feb 9, 2013
- 12
- 1
Katika huu mchakato wa katiba mpya kuna mambo hatuyaelewi kabisa imekuwa ni kama desturi wanakuwa kimya kwa mda flani halafu wanakuja kushtukiza jambo na kwa nilivyoona katika mchakato huu matangazo yake hayatiliwi mkazo sana kama mambo mengine na yanapelekea baadhi ya wananchi kukosa haki ya kujua nini kinaendelea juu ya mambo waliyochangia kuhusu katiba mpya.