Huu Mchakato wa katiba mpya una malengo katika jamii nzima

JONAS HERMAN

Member
Joined
Feb 9, 2013
Posts
12
Reaction score
1
Katika huu mchakato wa katiba mpya kuna mambo hatuyaelewi kabisa imekuwa ni kama desturi wanakuwa kimya kwa mda flani halafu wanakuja kushtukiza jambo na kwa nilivyoona katika mchakato huu matangazo yake hayatiliwi mkazo sana kama mambo mengine na yanapelekea baadhi ya wananchi kukosa haki ya kujua nini kinaendelea juu ya mambo waliyochangia kuhusu katiba mpya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…