jr.kiyn JF-Expert Member Joined Mar 17, 2013 Posts 789 Reaction score 4,872 May 14, 2016 #1 Dah,ishakuwa nongwa sasa kila kona kila Mahala utasikia huu mchezo hauitaji hasira,yaani kama kuna mtu anapofolewa vileee,Ila mi sina uhakika...... lakini nataka kujua huooo mchezo usihoitaji hasira Ni upi haswaaaa!!????
Dah,ishakuwa nongwa sasa kila kona kila Mahala utasikia huu mchezo hauitaji hasira,yaani kama kuna mtu anapofolewa vileee,Ila mi sina uhakika...... lakini nataka kujua huooo mchezo usihoitaji hasira Ni upi haswaaaa!!????
Mjamaa masalia JF-Expert Member Joined Nov 9, 2012 Posts 373 Reaction score 354 May 14, 2016 #2 Ni mchezo ambao hauhitaji hasira....