Huu mchezo wa wafanyabiashara wa k/koo kutoa risiti zenye bei tofauti na iliyolipwa umezidi sasa

Revola

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2015
Posts
1,516
Reaction score
1,338
Aiseeeeee yani kila sehemu nowadays wanunuzi wanatongozwa kwa maneno matamu ili waandikiwe risiti ya bei tofauti na waliyonunulia inakera sana serikali yangu elekezeni nguvu kubwa kariakoo.
Mara nyingi tuu ndani ya miezi minne mfululizo nimekuwa nikienda k/koo kununua vifaa vya ndani fridge, meza, kabati, home theater, n.k marayakwanza nilinunua kabati la nguo lilikuwa linauzwa laki 3 na 60 baada ya kununua nikamwambia muuzaji naomba risiti akanivuta pembeni akaniambia naomba nikuandikie laki 2 na 20 kwenye risiti yako nikamuuliza why? Akasema ucjali we nielewe tuu nikakubali poa andika baada ya kujiuliza sana kwanini kanikatia hivii nilikosa jibu nikachukua mzigo nikasepa. mwezi uliofuata nikaenda kununua fridge ilikuwa inauzwa laki 8 na 80, nikamwambia muuzaji naomba risiti akaninong'oneza naomba nikwandikie laki sita mkuu, nikasepa hapana nataka bei yangu hiyo hiyo nikawa mkali akaogopa nikachukua nikasepa, sasa nimejikuta vitu vingi navyonunua imekuwa hivyo hivyo hawa jamaa wanaiibia serikali sana. TRA nawaomba wahusika kitengo cha ukaguzi wa maduka k/koo mwende mkaweke mtego wananasa kizembe sana hali zao ngumu kibiashara wanaegemea kwa wateja. Pia ningeomba watanzania wenzangu unapokwenda kununua bidhaa akikunong'oneza wakati wa utowaji risiti kwa bei pungufu na aliyokuandikia Kataa.
 
Hiyo ipo kila mahali. Tena bora wanaokunong'oneza, wengine wakiona kuwa huna dalili za kuisoma hiyo risiti wanaandika kiasi cha hela wanachotaka na kukubidhi receipt yako bila wewe kujua.
Ni hatari sana, Ikitokea bahati mbaya ukakamatwa na huo mzigo balaa lake sio la nchi hii
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Me nilipewa risiti ya tarehe nyingene kabisaa...! Afu nayo nikaipoteza...
 
Aiseeeeee yani kila sehemu nowadays wanunuzi wanatongozwa kwa maneno matamu ili waandikiwe risiti ya bei tofauti na waliyonunulia inakera sana serikali yangu elekezeni nguvu kubwa kariakoo.
Mara nyingi tuu ndani ya miezi minne mfululizo nimekuwa nikienda k/koo kununua vifaa vya ndani fridge, meza, kabati, home theater, n.k marayakwanza nilinunua kabati la nguo lilikuwa linauzwa laki 3 na 60 baada ya kununua nikamwambia muuzaji naomba risiti akanivuta pembeni akaniambia naomba nikuandikie laki 2 na 20 kwenye risiti yako nikamuuliza why? Akasema ucjali we nielewe tuu nikakubali poa andika baada ya kujiuliza sana kwanini kanikatia hivii nilikosa jibu nikachukua mzigo nikasepa. mwezi uliofuata nikaenda kununua fridge ilikuwa inauzwa laki 8 na 80, nikamwambia muuzaji naomba risiti akaninong'oneza naomba nikwandikie laki sita mkuu, nikasepa hapana nataka bei yangu hiyo hiyo nikawa mkali akaogopa nikachukua nikasepa, sasa nimejikuta vitu vingi navyonunua imekuwa hivyo hivyo hawa jamaa wanaiibia serikali sana. TRA nawaomba wahusika kitengo cha ukaguzi wa maduka k/koo mwende mkaweke mtego wananasa kizembe sana hali zao ngumu kibiashara wanaegemea kwa wateja. Pia ningeomba watanzania wenzangu unapokwenda kununua bidhaa akikunong'oneza wakati wa utowaji risiti kwa bei pungufu na aliyokuandikia Kataa.
Acha ujinga
 
Wengine hawanong'onezi 360000 inaandikwa 36000/= halafu anakupa huku anakupiga maneno kibaao ww unakunja unatembea
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Me nilipewa risiti ya tarehe nyingene kabisaa...! Afu nayo nikaipoteza...
Mie nilinunua vyuma vya kuwekea mapazia vyenye thamani ya Tshs360,000/=. Nikapewa risiti sikuangalia nikaweka tu kwenye pochi, nilivyofika home kuangalia nimeandikiwa Tshs6,000/= halafu hata hawakuandika nilichonunua!
 
TRA wamekaa tu maofisini.
Kazi yao kuzunguka na minyororo na makufuli tu.

Hii michezo wangetakiwa wawe wameshaisthika mapema sana.
Tatizo wakipata nyeti kama hizi watazuga na "inspection" ya wiki mbili then wanarudi kukaa maofisini.
 
Nilienda kununua solar kwa Tsh 30,000 , lakini nikaandikiwa 3000 kumuuliza akasema kikubwa umepata bidhaa mengine tuachie wenyewe. Sikubaki nikasepa
 
Mie nilinunua vyuma vya kuwekea mapazia vyenye thamani ya Tshs360,000/=. Nikapewa risiti sikuangalia nikaweka tu kwenye pochi, nilivyofika home kuangalia nimeandikiwa Tshs6,000/= halafu hata hawakuandika nilichonunua!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndo kutegemean huko maana kwa hali ilipofikia sasa mpaka Sirikali inakabaa Maduka ya ubadilishaji pesaa hali tetee..
 
Nilienda kununua solar kwa Tsh 30,000 , lakini nikaandikiwa 3000 kumuuliza akasema kikubwa umepata bidhaa mengine tuachie wenyewe. Sikubaki nikasepa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unataka waandike 30000 walale njaaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndo kutegemean huko maana kwa hali ilipofikia sasa mpaka Sirikali inakabaa Maduka ya ubadilishaji pesaa hali tetee..
Niliwaza tu kuwa hivi ningekamatwa na askari au hata TRA wakaniomba risiti hivi nini kingetokea?!
 
Back
Top Bottom