Huu mfuko wa PSSSF unapata wapi mamlaka ya kumnyima mtu fao lake kwa kusimama kama mwajiri kwa mtu iliyefukuzwa kazi?

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2016
Posts
2,536
Reaction score
4,621
Hapo vip!

Kuna jamaa mmoja alikuwa ameajiriwa na serikali kitengo fulani.

Ila wakamfukuza kazi kwa tatizo la utoro ila hapa anasema wahuni wamemtengenezea sengwe kisa katoka masomoni akiwa na elimu zaidi ya Boss wake.

Sasa jamaa kaenda PSSSF kudai mafao yake anaambia ile ya muajiri hapewi ila atapewa ule mchango wake tu.

Sasa najiuliza zile pesa wanazotaka kumpiga jamaa angu wanazipeleka wap?

Mbona jamaa hiyo pesa ameifanyia kazi kwasababu alipewa kipindi akiwa anafanya kazi.

Kama serikali ndio imevunja mkataba naye kwanini serikali isimpatie mtu pesa zake au kuna ujambazi mle ndani?

Ila Afrika ndio maana ikaitwa bara jeusi😀

Sheria inasemaje kwa mvunja mkataba na mvunjiwa mkataba?

wadau wenye uzoefu nimshaurije huyu jamaa?
 
Hii mifuko ya kijamii ni utapeli tu
Ila waafrika ndio maana wamepewa ngozi nyeusi..hivi how came unamnyimaje mtu jasho lake serous..sio ajabu anataka akaanzishe mradi wake baada ya kazi kuota mbaya ananyima kazi plus fao duh....na Image ingekuwa ulaya wazungu wangempa kisha wakamsaidia kutafuta kazi..hawa jamaa wa ngozi nyeusi ni mashetani aisee..am sorry
 
Ata kuwa ajaelewa kabla ya kupewa pesa yako ni muhimu upate barua ya muajiri wako ya kukufukuza au kukuondoa kazini, utapewa fomu kutoka mfuko wa hifadhi uijaze kisha ikasainiwe na Afisa utumishi wako utaambatanisha benki statement ya akaunti yako ambapo mshaara wako ulikuwa unapitia, kumbuka namba yako ya wanachaa wa mfuko. Picha yako passportsize. Kama ulikuwa mfanyakazi wa mkataba utaambatanisha mkataba wako wa mwisho. Angalizo unaweza kupewa michango yako yote pamoja na yamuajiri wako au ukaamua kupewa 30% ya mshahara wako kila mwezi mpaka utakapo kuwa umebahatika kupata kazi nyingine kwahyo ni uwamzi wako kuchagua.
 
Haya unayaandika Kwa maandishi ila kiukweli taasisi zinazoongonzwa na ngozi nyeusi ni hatari sana. Ukiwafata hao PSSSF na NSSF kudai mafao Yako wanaona kama unawaomba pesa zao mfukoni

Yaani Wana nyodo kama una hasira unaweza kujilipua nao, Kuna wazee wanahangaishwa mpaka unashangaa na hawajali kabisa kama wale ni Babu/Babu ama wazazi wao
 
Fuata sheria na taratibu bila SHURUTI utapata haki yako.
Vinginevyo kalaghabaho
 
Hii mifuko ni basi tuu sheria inataka hivyo lakini kama kungekua na uhuru wa mwajiriwa kuchagua watu wangeikwepa
 
Back
Top Bottom