Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Jana wamekata saa 1 asubuhi. Umerudi usiku saa sita. Saa hizi saa moja wamekata. Huu siyo mgao, ni kama tu hakuna umeme. Nafikiri serikali imeshindwa kuzalisha na kusambaza umeme. Na hata hilo Stigla halitaleta unafuu wowote kama tu gesi tuliyokuwa na matumaini nayo ambavyo haikuleta unafuu.
Itungwe sheria watu binafsi wenye uwezo wa kuzalisha na kuuza umeme wafanye hivyo. Ikiwezekana na TANESCO ivunjwe tupate mashirika ya kikanda au kimkoa. Shirika kubwa hili likifanya uzembe nchi nzima unaingia shida.
Ni upumbavu miaka nenda rudi kuteseka na ishu moja.