Huu Mgao wa Umeme shida ni nini?

Januari na mambo yake.
Poleni wakazi wa Arusha..Dar tuna mwemweleka tu na umeme
 
Ila huu mgawo umezidi aisee....
 
Tanesco hawashindwi kusema mgao unasababishwa na vita ya Ukraine, ngoj tuwasubiri hapa tuwasikie
Kabisa yule Makamba ana sound haziishi halafu akiulizwa anakuwa mkali eti anaonewa wivu kwa cheo chake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…