kipengele hicho ni muhimu ili kumbana mpangaji asiharibu nyumba ......awe makini kutunza vitasa, electic switches, floor, doors etctc....ni kama caution money tuliyokuwa tanalipa wanafunzi kufidia kama ataharibu kitu cha shule au atapoteza vitabuNina miaka miwili kwenye hii nyumba lakini leo nimelipia tena kodi kama kawaida lakini mkata ulipokuja naona umeongezwa kipengele ambacho naona hakiko sawa mwenye nyumba ananiambia nisheria mpya ya upangishaji hapo kwenye picha nimewekea point nyekundu lakini hata ukiusoma mkataba mzima masharti na sheria zake sio rafikiView attachment 3353566
Ha ha ha......Eti WA kijamaa😂Mkataba mzuri kabisa tena wa kijamaa.
Mkataba mzuri kabisa tena wa kijamaa.
Unalipia 50k kumbe umeharibu vifaa vya laki 2Sema changamoto yake,
Itasababisha uharibifu WA kukomoana Kwa wapangaji (WASIO wastaarabu) pindi wanapohama.
Ni Kama baadhi ya vijana WA hovyo,Unalipia 50k kumbe umeharibu vifaa vya laki 2
Hiyo ni kawaida, maana siku unahama kama hakuna uharibifu wowote, hiyo Hela huwa inarudishwa,Nina miaka miwili kwenye hii nyumba lakini leo nimelipia tena kodi kama kawaida lakini mkata ulipokuja naona umeongezwa kipengele ambacho naona hakiko sawa mwenye nyumba ananiambia nisheria mpya ya upangishaji hapo kwenye picha nimewekea point nyekundu lakini hata ukiusoma mkataba mzima masharti na sheria zake sio rafikiView attachment 3353566