Anajikuta anajipendelea yeye ilitakiwa iishe tarehe moje December yeye kaweka 30 November ili kukikucha tarehe moja uonekane unahatia umechelewesha kodi huoni hapo kaandika kodi ilipwe wiki mbili kabla ya kodi ya mwanzo haijaishaHiyo ni kawaida, maana siku unahama kama hakuna uharibifu wowote, hiyo Hela huwa inarudishwa,
Na kingine umelipa miezi 6, mbona mkataba umeandikwa unaisha tr30 November? Na sio December 2025? Au ndo amekata iyo 50k uliyouliza?
Ndio wapi hukoKapange kwa haji manara a.k.a Half american
Jitahidi uwe una lala haji manara 😂 🤣Ndio wapi huko
Sasa utaendaje lodge Bila Mwanamke wa kalala nae?Ni Kama baadhi ya vijana WA hovyo,
Wakienda lodge wakakosa mwanamke WA kulala nae, wanafutia viatu mashuka ya kitandani kuwakomoa wafuaji
awa wenye nyumba wa dsm % kubwa ni ******* sana wanaona hela tunaokota mtu choo kimejaa anataka uchangie ulipe sasa nalipaje wkt nalipa kodi😃😃Nina miaka miwili kwenye hii nyumba lakini leo nimelipia tena kodi kama kawaida lakini mkata ulipokuja naona umeongezwa kipengele ambacho naona hakiko sawa mwenye nyumba ananiambia nisheria mpya ya upangishaji hapo kwenye picha nimewekea point nyekundu lakini hata ukiusoma mkataba mzima masharti na sheria zake sio rafikiView attachment 3353566
Ili nifukuzwe kazi?Jitahidi uwe una lala haji manara 😂 🤣
Haji manara shida una kelele Sana, hebu lala boya wee 🤣Ili nifukuzwe kazi?
Izo kelele umezisikia wapHaji manara shida una kelele Sana, hebu lala boya wee 🤣
Mombasa Nairobi hio NI kawaida wanaita deposits money...Tena hapo NI ndogo hukubinakuwa sawa na Kodi ya miezi miwili...Kwenye real estate hicho kipengele kipo hasa apartment za Upanga
Mimi naona yupo sawa, wapangaji wengi wasumbufu sana.Hawa watunga mikataba wanazinguaga
Kuna mkataba wa kampuni ya basi upande wa mizigo niliusoma nikabaki nacheka. Sijui kama walisharekebisha kwa sasa.Mimi naona yupo sawa, wapangaji wengi wasumbufu sana.
Ndo nyie vijanq WA ovyoSasa utaendaje lodge Bila Mwanamke wa kalala nae?
Sasa unakuwa umeenda gest kufanya nnNdo nyie vijanq WA ovyo
Mkuu mbona hujui kuandika?Nina miaka miwili kwenye hii nyumba lakini leo nimelipia tena kodi kama kawaida lakini mkata ulipokuja naona umeongezwa kipengele ambacho naona hakiko sawa mwenye nyumba ananiambia nisheria mpya ya upangishaji hapo kwenye picha nimewekea point nyekundu lakini hata ukiusoma mkataba mzima masharti na sheria zake sio rafikiView attachment 3353566
Kwanini mkuu ..ila mkataba mzuri nitaukopi niutumie kwanguNyumba zangu za kupangisha huwa nasaini mkataba na mwanamke tu hata kama mumewe yupo.