Huu mkoa kila mwanamke ninaepishana nae ana ndevu

Huu mkoa kila mwanamke ninaepishana nae ana ndevu

Babumawe

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2014
Posts
2,556
Reaction score
2,571
Nipo Mbeya hapa kuanzia Uyole, Rungwe, Kyela, Chunya na kila ninapopita napishana na wakinamama wana ndevu. Sasa sielewi jamii za huku ndo walivyo au...au Kuna mkoa mwingine wapo kama huku maana ndevu tena kwa mtoto wa kike mbona naogopa aisee..
Huko kwenu vipi?
 
Nipo mbeya hapa kuanzia uyole, rungwe, kyela, chunya na kila ninapopita napishana na wakinamama wana ndevu. sasa sielewi jamii za huku ndo walivyo au...au Kuna mkoa mwingine wapo kama huku maana ndevu tena kwa mtoto wa kike mbona naogopa aisee..
Huko kwenu vipi?
Hao ndio tunawaita LADIES and Gentlemen
 
Back
Top Bottom