Huu mnada unaotembea kila siku DSM unaweza kuwa na fursa gani kwa watafutaji...

mitale na midimu

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2015
Posts
10,420
Reaction score
17,735
kuna hawa jamaa naona kila siku wanakuwa na sehemu au service road wanafanya biashara.
unadhani kuna weza kuwa na fursa gani...
mobile business
 
Mkuu pesa iko Barabarani, mafanikio huanzia Barabarani. Ukisona Historia ya watu wengi walio fanikiwa wengi waliabzia Barabarani.

Pale ndo kuna pesa na pale ndo kuna wateja hasa watu masikini ambao wao manunuzi ya vitu mara nyingi ndo uwekezaji wao.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli hata Bill Gates alianzia barabarani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…