Huu msalaba kwenye paji la uso ni nini

Huu msalaba kwenye paji la uso ni nini

Doto12

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2023
Posts
640
Reaction score
1,141
Katika imani kuna mambo yanafanyika sana. Na leo hii naona msalaba kwa baadhi yenu kwenye paji la uso.

Waislam wanagunga tu kwankunuia hii kupakana matope usoni hii ni ishara gani.?

Kwanin kama ni kufunga isiwe kiifikra zaidi kuliko kupakaa matope, huu sio ushirikina kweli?

Pili, hii tabia kila mwewa Kufunga kwa waislam ukifika, kuna watu wanasogeza spika zao karib na nyumban kupiga kelele eti ni mahubiri kwa nini iwe wakati huu kama sio kutafutana ubaya
 
Masizi ambayo alipopaka Babu yako Mashavuni wakati wa Ibada zake kwenye miti Mikubwa au Vinyago akaambiwa Ushetani na Uchawi mkubwa.

TAMUZI
Mathayo 6:16-18;

BARCODE HIYO.
 
Hao ndo binadamu pekee wamaosema wanafunga ila wanakula kama mchwa masaa 24 ukimuuliza kafunga nini anasema kafunga kula makande siku 40, mwingine kafunga kula dagaa mchele siku 40.
 
Hakika mambo ya imani wakati mwingine ni sawa na ukichaa...eti wengine wanaamini wakifa watakutana na mito ya pombe huko ahera.
Hatari sana!
 
Umeishaambiwa ni jumatano ya majivu, waumini hupakwa alama ya msalaba kwenye paji la uso
 
Katika imani kuna mambo yanafanyika sana. Na leo hii naona msalaba kwa baadhi yenu kwenye paji la uso.

Waislam wanagunga tu kwankunuia hii kupakana matope usoni hii ni ishara gani.?

Kwanin kama ni kufunga isiwe kiifikra zaidi kuliko kupakaa matope, huu sio ushirikina kweli?

Pili, hii tabia kila mwewa Kufunga kwa waislam ukifika, kuna watu wanasogeza spika zao karib na nyumban kupiga kelele eti ni mahubiri kwa nini iwe wakati huu kama sio kutafutana ubaya
Mkuu mbona una chuki na makasiriko na imani ya watu wengine?, wao kufanya hivyo kimekupunguzia nini kwenye imani na maisha yako?.....

Huku ni kutafuta chokochoko kisha badae utafute huruma ya watu.
 
We utakuwa umevurugwa na njaa. Sasa imani ya wenzako inakusumbua nini?
 
Mkuu mbona una chuki na makasiriko na imani ya watu wengine?, wao kufanya hivyo kimekupunguzia nini kwenye imani na maisha yako?.....

Huku ni kutafuta chokochoko kisha badae utafute huruma ya watu.
Saa 12 asb asb maspika juu juu loh
 
Katika imani kuna mambo yanafanyika sana. Na leo hii naona msalaba kwa baadhi yenu kwenye paji la uso.

Waislam wanagunga tu kwankunuia hii kupakana matope usoni hii ni ishara gani.?

Kwanin kama ni kufunga isiwe kiifikra zaidi kuliko kupakaa matope, huu sio ushirikina kweli?

Pili, hii tabia kila mwewa Kufunga kwa waislam ukifika, kuna watu wanasogeza spika zao karib na nyumban kupiga kelele eti ni mahubiri kwa nini iwe wakati huu kama sio kutafutana ubaya
Unakumbushwa tu ya kuwa baada ya maisha yako hapa duniani, huo mwili wako utageuka na kuwa udongo wa kurutubisha mazao ya chakula ulichokula.

Kwa hiyo ujitahidi kuishi maisha ya kumpendeza Mungu ili roho yako ipate makazi ya kudumu mbinguni, badala ya kuishia motoni/ahera/jehanamu.
 
Masizi ambayo alipopaka Babu yako Mashavuni wakati wa Ibada zake kwenye miti Mikubwa au Vinyago akaambiwa Ushetani na Uchawi mkubwa.

TAMUZI
Mathayo 6:16-18;

BARCODE HIYO.
Hizo Bible mnazisoma Kinyume nyume au?
 
Back
Top Bottom