Hakika mambo ya imani wakati mwingine ni sawa na ukichaa...eti wengine wanaamini wakifa watakutana na mito ya pombe huko ahera.Hao ndo binadamu pekee wamaosema wanafunga ila wanakula kama mchwa masaa 24 ukimuuliza kafunga nini anasema kafunga kula makande siku 40, mwingine kafunga kula dagaa mchele siku 40.
Mkuu mbona una chuki na makasiriko na imani ya watu wengine?, wao kufanya hivyo kimekupunguzia nini kwenye imani na maisha yako?.....Katika imani kuna mambo yanafanyika sana. Na leo hii naona msalaba kwa baadhi yenu kwenye paji la uso.
Waislam wanagunga tu kwankunuia hii kupakana matope usoni hii ni ishara gani.?
Kwanin kama ni kufunga isiwe kiifikra zaidi kuliko kupakaa matope, huu sio ushirikina kweli?
Pili, hii tabia kila mwewa Kufunga kwa waislam ukifika, kuna watu wanasogeza spika zao karib na nyumban kupiga kelele eti ni mahubiri kwa nini iwe wakati huu kama sio kutafutana ubaya
We utakuwa umevurugwa na njaa. Sasa imani ya wenzako inakusumbua nini?Katika imani kuna mambo yanafanyika sana. Na leo hii naona msalaba kwa baadhi yenu kwenye paji la uso.
Waislam wanagunga tu kwankunuia hii kupakana matope usoni hii ni ishara gani.?
Kwanin kama ni kufunga isiwe kiifikra zaidi kuliko kupakaa matope, huu sio ushirikina kweli?
Pili, hii tabia kila mwewa Kufunga kwa waislam ukifika, kuna watu wanasogeza spika zao karib na nyumban kupiga kelele eti ni mahubiri kwa nini iwe wakati huu kama sio kutafutana ubaya
Unakumbushwa tu ya kuwa baada ya maisha yako hapa duniani, huo mwili wako utageuka na kuwa udongo wa kurutubisha mazao ya chakula ulichokula.Katika imani kuna mambo yanafanyika sana. Na leo hii naona msalaba kwa baadhi yenu kwenye paji la uso.
Waislam wanagunga tu kwankunuia hii kupakana matope usoni hii ni ishara gani.?
Kwanin kama ni kufunga isiwe kiifikra zaidi kuliko kupakaa matope, huu sio ushirikina kweli?
Pili, hii tabia kila mwewa Kufunga kwa waislam ukifika, kuna watu wanasogeza spika zao karib na nyumban kupiga kelele eti ni mahubiri kwa nini iwe wakati huu kama sio kutafutana ubaya
Hizo Bible mnazisoma Kinyume nyume au?Masizi ambayo alipopaka Babu yako Mashavuni wakati wa Ibada zake kwenye miti Mikubwa au Vinyago akaambiwa Ushetani na Uchawi mkubwa.
TAMUZI
Mathayo 6:16-18;
BARCODE HIYO.