SHIEKA JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 8,240 Reaction score 4,265 Apr 14, 2014 #1 Wenyeviti wa kamati mbalimbali za Bunge Maalumu kila wawasilishapo ripoti nawasikia wakisema:'Maelezo zaidi yapo kwenye bango kitita. Bango kitita maana yake nini?
Wenyeviti wa kamati mbalimbali za Bunge Maalumu kila wawasilishapo ripoti nawasikia wakisema:'Maelezo zaidi yapo kwenye bango kitita. Bango kitita maana yake nini?
M MwendaOmo JF-Expert Member Joined Dec 16, 2013 Posts 774 Reaction score 723 Apr 14, 2014 #2 Naamini haya ndio baadhi ya maneno yanayoongezwa na na bakita/TUKI. Mi Mkenya, lakini kwa maoni yangu, labda ni attachment ama appendix
Naamini haya ndio baadhi ya maneno yanayoongezwa na na bakita/TUKI. Mi Mkenya, lakini kwa maoni yangu, labda ni attachment ama appendix
Khakha JF-Expert Member Joined Jul 15, 2009 Posts 2,981 Reaction score 1,009 Apr 14, 2014 #3 MwendaOmo said: Naamini haya ndio baadhi ya maneno yanayoongezwa na na bakita/TUKI. Mi Mkenya, lakini kwa maoni yangu, labda ni attachment ama appendix Click to expand... Mkuu mwendaomo nami nilikuwa nafikiria maneno hayo ila hapo kwenye attachment Kiswahili ni kiambatanisho.
MwendaOmo said: Naamini haya ndio baadhi ya maneno yanayoongezwa na na bakita/TUKI. Mi Mkenya, lakini kwa maoni yangu, labda ni attachment ama appendix Click to expand... Mkuu mwendaomo nami nilikuwa nafikiria maneno hayo ila hapo kwenye attachment Kiswahili ni kiambatanisho.
SHIEKA JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 8,240 Reaction score 4,265 Apr 14, 2014 Thread starter #4 MwendaOmo said: Naamini haya ndio baadhi ya maneno yanayoongezwa na na bakita/TUKI. Mi Mkenya, lakini kwa maoni yangu, labda ni attachment ama appendix Click to expand... Asante MwendaOmo. Nimeelewa. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
MwendaOmo said: Naamini haya ndio baadhi ya maneno yanayoongezwa na na bakita/TUKI. Mi Mkenya, lakini kwa maoni yangu, labda ni attachment ama appendix Click to expand... Asante MwendaOmo. Nimeelewa.
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,258 Apr 15, 2014 #5 bango kitita-kabrasha kubwa
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,258 Apr 15, 2014 #6 ithibati-ushahidi/uthibitisho, (ili usiendelee kuulizauliza)