Huu msemo una maana gani?

Huu msemo una maana gani?

6321

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2016
Posts
649
Reaction score
1,117
Leo wakati narudi nyumbani jionii hii, nimeona dalala imeandikwa kwa nyuma "UTAMU HAUNA SIRI" nimejaribu kutafakari huu msemo nazidi kuumia kichwa.

Karibuni mnisaidie.
 
utamu hauna siri ndomana watu wanafumaniwa
 
Back
Top Bottom